Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Martha Mlata, amesema kuwa tangu kumalizika kwa uchaguzi wa Oktoba 29 kumekuwepo na hali ya kumnyanyasa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kiasi cha kumsononesha na kuathiri mazingira ya kufanya kazi kwa utulivu.
Mlata ametoa kauli hiyo leo...