Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Martha Mlata, amesema kuwa tangu kumalizika kwa uchaguzi wa Oktoba 29 kumekuwepo na hali ya kumnyanyasa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kiasi cha kumsononesha na kuathiri mazingira ya kufanya kazi kwa utulivu.
Mlata ametoa kauli hiyo leo Januari 22, 2026, katika mkutano uliofanyika Wilayani Ikungi, Kata ya Puma, kabla ya kumkaribisha Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, kuhutubia wananchi. “Tangu tumemaliza uchaguzi, moyo wangu umekuwa ukibubujikwa. Kuona mwanamke ananyanyasika.
Wanaume mnamnyanyasa Dkt. Samia… tangu amechaguliwa na Watanzania mmekuwa mkimzuia kufanya kazi zake, mmekuwa mkimsononesha,” amesema Mlata.
===================
++++Kumbe hii ndio sababu ya Samia kujificha, hakuna anayemnyanyasa dhamira yake ndiyo inayomsuta.