- Thread starter
- #21
Hawakupi shida wewe lakini sisi na Mlata tunaona kuna shida.Walishamdharau tangu siku ya kwanza anaapishwa pale ikulu. Hawa hawatupi shida hata kidogo.
SSH anaendelea kuzifungua fursa nyingi za nchi hii ndani ya muda huu, hawa ujanja wao unaanza na kuishia kwenye kurasa za magazeti pamoja na kurasa za mitandao ya simu. Zaidi ya hapo hawana ujanja wowote.
Anaendelea kuzifungua fursa wakati kajifungia ndani na kazuiwa kufanya kazi.