Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amekosoa kauli ya Waziri Patrobas Katambi, akidai kuwa haina msingi wa kisheria na kwamba hana mamlaka ya kufuta mikutano ya vyama vya siasa.
Kuhusu katazo la mikutano ya kisiasa, soma Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote...