marufuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shadow7

    Kenya yaondoa marufuku ya watu kutoka nje ‘Lockdown’

    Katika kusheherekea siku ya wafanyakazi duniani, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza kuondoa zuio la watu kutotoka nje katika kaunti tano nchini humo kwa ajili ya kukabiliana na virusi vya corona. Katika taarifa yake rais Kenyatta amesema wakati alipotoa agizo la pili kwa umma mnamo Machi...
  2. beth

    Australia yapiga marufuku raia wake wanaotokea India kurejea Nchini humo

    Wakazi pamoja na Raia wa Australia ambao wamekuwa India watapigwa marufuku kuingia Nchini humo kuanzia Mei 03, 2021 na wale watakaokiuka wataadhibiwa kwa kifungo na kutozwa faini. Kuanzia Jumatatu, mtu yeyote ambaye amekuwa India ndani ya siku 14 kutoka tarehe yao ya kuwasili Australia atapigwa...
  3. MPUNGA MMOJA

    Waziri Gwajima: Marufuku kuwauzia kadi za kliniki kina mama wajawazito

    Waziri wa Afya Dkt Gwajima amepiga marufuku kina Mama Wajawazito, hakuna utaratibu huo. Awali kadi zilikua zikiuzwa sh 5000/= mpka 20,000/= na baadhi ya vituo vya kliniki ilifika sh 50,000/=.
  4. SN.BARRY

    DC Kasesela alikoroga Iringa. Apiga marufuku bajaji kufanya kazi

    Kufatia mgomo wa daladala manispaa ya Iringa mkuu wa wilaya ya Iringa Mr.Kasesela amepiga marufuku bajaj kufanya kazi. Amepiga marufuku bajaji kutoka Ipogolo n Kitwiru kwenda Iringa mjini. Amepiga marufuku bajaji kupita Dodoma road, bajaji za mkimbizi na Kihesa kilolo wakitaka wapite nyuma ya...
  5. Kasomi

    Dkt. Kalemani: Marufuku kuuza mafuta yasiyo na vinasaba

    Dodoma, Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amepiga marufu uuzaji wa mafuta ya Petroli, Dieseli, na Mafuta ya Taa yasiyo na vinasaba unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara nchini. Dkt. Kalemani alitoa maagizo hayo Jijini Dodoma wakati wa ziara yake ya kushtukiza ya kukagua vinasaba kwenye...
  6. YEHODAYA

    Maajabu mazishi ya Prince Phillip: Mahubiri marufuku kanisani, marufuku kuimba nyimbo za kwaya na Marufuku bendera kuwa nusu mlingoti

    Leo ndio mazishi ya Prince Philip wa Uingereza waweza angalia moja kwa moja tv ya SKYNEWS Maandalizi yote ya msiba wake aliyaanda mwenyewe kabla kufa na ratiba aliindaa mwenyewe. Katika maagizo aliyoagiza ni kuwa ni maruku padre kuhubiri mahubiri mahubiri kwenye msiba wake na kanisani...
  7. TheChoji

    Je, wajua? Marekani waliwahi kupiga marufuku pombe

    Kuanzia mwaka 1920 -1933 pombe zilipigwa marufuku nchini Marekani. Ilikua ni kinyume cha sheria kuzalisha, kusafirisha au kuuza pombe nchini humo. Lengo lilikua ni kupunguza matatizo yaliyokua yanatokana na ulevi kama uhalifu, rushwa, matatizo ya kijamii, mporomoko wa maadili, afya duni nk pia...
  8. Mlenge

    Barakoa Canada zakutikana na shida: zapigwa marufuku

    Barakoa Canada zakutikana na shida: zapigwa marufuku. Nukuu: "One model of mask distributed to Quebec schools and daycares may be dangerous for the lungs as they could contain a potentially toxic material, according to a directive sent out by the provincial government on Friday...
  9. Bishop Hiluka

    Kenya yajibu marufuku ya Uingereza kwa kuwawekea raia wa nchi hiyo masharti

    Kenya imejibu marufuku ya Uingereza kwa kuwawekea raia wa nchi hiyo watakaowasili sharti la kuwa karantini kwa siku 14. Raia wa Uingereza watakapokuwa wamejitenga, watahitajika kupimwa ikiwa wamepata maambukizi ya virusi vya corona au la mara mbili siku ya pili na ya nane wakiwa karantini kwa...
  10. Kasomi

    Serikali inavyo piga marufuku shamrashamra za Pasaka, hawakuona kelele mule Bungeni?

    Wakuu hebu tujadili hili. Serikali imetoa wito kutoskia shamrashamra za sikukuu ya Pasaka mwaka huu tofauti na miaka mingine kisa bado tupo kwenye maombolezo. Je, Swali kwa Serikali inamaana hawakuona zile kelele na shamrashamra Bungeni baada ya jina la Philipo Isdor Mpango kupendekezwa na...
  11. Bazazi

    Mambo Kumi Marufuku kwa Wanaume!

    1. Kusomesha mchumba 2. Kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke/mke wako. 3. Kuweka jina la mwanamke/mke wako kwenye umiliki wa mali. 4. Kutunza fedha kwenye akaunti ya mwanamke/mke wako. 5. Kumwamini mwanamke/mke wako kwa 100% (mwamini kwa mama yako tu kwa kiwango hicho au zaidi) 6...
Back
Top Bottom