masaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    Masaa 72 Yanga waliowapa TPLB yamekwisha, Sasa tukutane CAS

    Tukumbuke tarehe March 10, 2025. Yanga waliandika barua Kwa bodi ya ligi kudai haki Yao ya magoli 3 pamoja na points 3 na fidia ya Tshs million 56,435,000 baada ya uvunjifu wa mchezo ambao ulikuwa ufanyike tarehe 8 March Simba waliwashinikiza bodi ya ligi katika hali isiyo ya kawaida bodi ya...
  2. Mikopo Consultant

    Nawakubali sana Waislamu kwenye kuzika, nawaza niweke kwenye wosia wangu nikifa nizikwe isizidi masaa 24

    Naifikiria sana hii kitu pale mtu anapoachwa wiki nzima hajazikwa, huwa inakuwaga huzuni mara mbili kwa wafiwa. Solution ya hii kitu nimegundua ni mtu kuzikwa fasta fasta na sio kuchelewa zaidi ya siku mbili. Mwaka jana kwenye family yangu kuna mtu aliumwa kinoma, nikajisemea hapa akifa nazika...
  3. Setfree

    Mnaotumia Masaa Mengi Kujadili Mpira, Mnapata Dola Ngapi kwa Siku?

    Mpira wa miguu ni burudani inayowachangamsha wengi, lakini je, umewahi kujiuliza thamani ya muda unaotumia kujadili mpira? Wengine hutumia saa nyingi kubishana kuhusu wachezaji, timu, na matokeo, lakini je, mijadala hiyo inazalisha kipato chochote? Katika ulimwengu wa sasa, muda ni rasilimali...
  4. kavulata

    Masaa 24 biashara Kariakoo, hali ya usalama mitaani wanakotoka wateja inaruhusu?

    Mitaa yetu ina giza nene totoro na vibaka wengi sana, na wakati mwingine hakuna umeme kabisa. Ni jambo jema sana biashara kariakoo masaa 24, itasaidia kuchechemua uchumi wa watu, familia, jiji na taifa kwa ujumla. Usalama Kariakoo umeimarishwa kwa kufunga taa, kamera na kuwa na walinzi wa watu...
  5. K

    Wanafunzi wa shule za msingi na chekechea wasogezewe mbele masaa ya kuanza masomo.

    Ni Asubui ya saa 12 naelekea zangu kituo cha daladala ili niwai kazini,pembezoni mwa barabara naona watoto wawili wa kike wamesinzia na kulaliana.Mdogo kamlalia mkubwa mapajani,mkubwa kajiegemeza kwenye ukuta.Niliwafikia nikamuona mdogo kavaa sare za shule ila mkubwa kavaa nguo za nyumbani na...
  6. MBOKA NA NGAI

    M23 yatangazia umma kuwa safari za Kivu Kaskazini na Goma zipo wazi masaa 24

    Mkuu wa mkoa wa Kivu Kasikazini, anapenda kuwafahamisha wakazi wa Kivu kasikazini na Kivu kusini, hasa miji ya Goma na Bukavu, kuwa miaro yote ya ya Goma na Bukavu kuanzia sasa inatoa huduma masaa 24,kuanzia kesho tarehe 18-2-2025 saa kumi na mbili asubuhi. Watoa huduma wote, wanatakiwa...
  7. saidoo25

    Hotuba ya masaa 7 mfululizo ya Luhaga Mpina ina ujumbe gani kwa watanzania?

    LUHAGA MPINA, Mbunge wa Kisesa ametumia takribani masaa 7 mfululizo kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 na nusu usiku akizungumza na watanzania juu ya matatizo mbalimbali yanayolikabili taifa letu ikiwemo maonevu wanayofanyiwa wachimbaji wadogo wa madini kufukuzwa na maeneo yao kupewa raia wa...
  8. milele amina

    Rushwa nimekubali ina nguvu kubwa sana, huyu ni mtu mmoja kwa masaa tofauti,ila kauli tofauti!

    Huyu ni mtu mmoja, kauli tofauti ila kwa tofauti ya masaa! Rushwa ina nguvu sana!
  9. M

    Kwa mliokuwa mashabiki wa propaganda za Trump, yamebaki masaa machache ya yeye kutimiza ahadi ya kumaliza vita vya Ukraine

    Mojawapo ya ahadi zake na pengine iliyomuongezea kura na kupata wafuasi wengi wa Sera zake, Ni ile ya kumaliza vita vya Ukraine ndani ya masaa 24 Mara tu Baada ya kuapishwa. Trump aliapishwa Jana jioni na masaa 24 yatatamatika Leo mida ya saa mbili usiku. Je kufikia mda huo vita ya Ukraine na...
  10. Mashamba Makubwa Nalima

    Kumbe safari ya Arusha Mpaka Kenya (Nairobi) ni masaa matatu mpaka nne, Basi Haichoshi kabisa,naweza enda na kurudi chap kulitumikia taifa langu

    The total driving distance from Arusha, Tanzania to Nairobi, Kenya is 170 miles or 274 kilometers.(TravelMath Calculator). The driving distance from Nairobi (NBO) to Arusha (ARK) is 160 miles / 257 kilometers, and travel time by car is about 3 hours 14 minutes. (Air Miles calculator) Trippy
  11. A

    KERO Afisa Utumishi anazungusha kubadili tarehe za likizo tokea Novemba 2024

    Tangu Novemba 2024 nimekuwa niliwasiliana na HRS wahuishe na kubadili TAREHE za likizo, mwezi Novemba ukaisha, Disemba umeisha mpaka sasa Januari kila siku nitabadilisha nitabadilisha . Wadau Ma-HR mlio humu na Ma-IT wa Halmashauri hivi kufanya mchakato huo ni masaa mangapi? Kuna ugumu gani...
  12. Erythrocyte

    Pre GE2025 Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda Wake, atazungumza na Dunia kupitia Waandishi wa Habari muda wowote kuanzia sasa. Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi ==================================================== Akiwa anazungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake...
  13. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Masaa 48 ya Mbowe kuamua hatma na uelekeo wa chadema kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Ni wazi kauli ya mbowe inayosubiriwa kwa hamu na gamu kubwa sana na wana chadema na taifa kwa ujumla, atakayoitoa mbele ya waandishi wa habari, ndani ya masaa 48 yajayo, itaamua mustakabali, uelekeo na myukano wa kisiasa wa aina ya kitofauti mno ndani ya chadema kuelekea uchaguzi wa ndani ya...
  14. K

    Kwa Nini Treni ya SGR Haifanyi Kazi Masaa 24?

    Kipindi cha nyuma, mabasi yalikuwa yanazuiwa kufanya safari usiku. Sababu za alinacha zilitolewa na baadae kupinduliwa bila juhudi zozote za kuondoa sababu hizo za alinacha tulizokuwa tunaaminishwa. Hivi Sasa mabasi yanasafiri 24 hours na safari za usiku ndio zenye mwitikio mkubwa wa wateja...
  15. S

    Hotuba ya Mwisho ya Profesa Kabudi ndani ya masaa 24 akahamishwa Wizara

    Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kuwa Serikali ina mpango wa kuanzisha chombo cha kuratibu na kusimamia mikataba ambayo Serikali inaingia. Prof. Kabudi ameeleza kuwa kuanzishwa kwa chombo hicho kutaisaidia nchi kutokuingia mikataba yenye masharti hasi na...
  16. FRANCIS DA DON

    Masaa 24 kwa siku hayatoshi. Je, tukiamua siku iwe na masaa 28 nini kitatokea?

    Kwa mantiki hiyo, saa zote na mifumo yote ya utunzaji muda ibadilishwe, sioni ulazima wa masaa kuendana na mzunguko wa jua. Jua lizunguke kivyake ila sisi tutahesabu masaa yetu kivyake, masaa 24 hayatoshi kabisa!
  17. G

    Wataalam, Nahitaji uhakika wa umeme kwa vifaa vidogo kama laptop, simu, router, n.k. ikiwa kuna mgao wa siku 2, Je itanigharimu kiasi gani ?

    Inatokea Tanesco wamekata umeme kwa siku 2 Nahitaji vitu gani mfano battery au power bank,n.k. niweze kukidhi mahitaji ya umeme kwa siku 2 kwa vifaa vidogo kama Smart phone 4 zinazochajiwa mara 2 kwa siku, hutumia lisaa kujaa Router 1 inayotakiwa iwe kwenye umeme muda wote Laptop 1 ya Dell
  18. Magical power

    Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa.

    Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa. Unaweza ukawa na mtu miaka na msioane, Lakini ukaja kutana na mtu ghafla tu akawa ndio rizki yako. ......usijimalize sana dadangu.
  19. Paul dybala

    Ni sababu zipi zikafanya uokoaji uwe ni masaa 72 tu?

    Ni je?binadamu asipokula wala kunywa katika saa 72 anaweza kufa? Iwapo hawezi kufa,,,kwanini wataalamu wanasema baada ya hizo saa kinachofuatia ni kusafisha eneo la ajali. Kama ni hivyo bhasi,,janga la kuanguka kwa ghorofa la kariakoo halipaswi kuwa na ukomo wa uokozi,,kwa kuwa kuna matumaini...
  20. FRANCIS DA DON

    Jinsi ya kuokoa watu toka kwenye underground ya ghorofa lililoanguka ndani ya masaa mawili

    Siku nyingine jengo likianguka na watu kunaswa kwenye underground, njia rahisi ya kuwatoa kwa haraka ni kuchimba shimo pembeni ya jengo (barabarani), kisha lilishafika kina cha usawa wa underground, inachimbwa tunnel itakayowekwa precast culvert za zege kuelekea kwenye jengo, kisha pipe za...
Back
Top Bottom