masaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ommytk

    Ushauri: Napendekeza Mabasi ya Mwendokasi wafanye kazi saa 24

    Leo nimesafiri na bus usiku nikapata mawazo hivi kwanini mabus ya mwendokasi wasifanye huduma zao masaa 24
  2. Chambusiso

    Mfumo wa masaa Afrika Mashariki

    Sijui kama ilishawahi kujadiliwa humu lakini nimekuwa najiuliza sana na kukosa majibu, kwanini mfumo wa masaa wa Afrika Mashariki upo tofauti na sehemu zingine duniani? Sehemu zote siku inaanza saa 6 (0000) usiku lakini kwetu inaanza saa 1 (0700) asubuhi. Kuna sababu ya hii tofauti mahali? Na...
  3. escapee

    Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

    At least 50 people have been killed and more than 300 wounded by Israeli air strikes in Lebanon, the ministry of health said Monday. Also read >Wakazi wa Kusini mwa Lebanon wamepokea SMS zikiwataka kuhama kwenye nyumba zao Smoke billows over southern Lebanon following Israeli air attacks...
  4. Sir John Roberts

    Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin

    Marekani imetoa taarifa hivi punde kuwa Iran imepanga kushambulia Israel hii Leo masaa machache yajayo. Kupitia kwa intelligence mbalimbali maofisa wa marekani wanaeleza kuwa shambulio hilo litafanyika masaa 12 yajayo. Israel imesema imeshajiandaa kwa shambulio hilo na Wananchi wametelekezwa...
  5. Bila bila

    Msafara wa Mwenge kusimamisha safari za mabasi Kwa masaa 4 ni udikiteta.

    Nimetoka kijiji cha Kirando wilaya ya Nkasi alifajiri saa 12 Kwa basi la Rukwa Raha. Tumefika kijiji cha Chala majira ya saa 2 hivi asubuhi. Cha kushangaza tumekuta mabasi yamesimamishwa hapa Tangu saa 1 asubuhi Kwa Kisingizio cha kutoingilia msafara wa Mwenge àmbao unatokae Sumbawanga. Kutoka...
  6. dr namugari

    Kuna gari mbili zimepaki hapa masaa mawili bila watu kushuka

    Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu Gari ni Nissan cibin na Nissan patrol Je tumchukuwe hatua gani kama raia
  7. Nehemia Kilave

    Hospitali zote zaagizwa zihudumie wagonjwa ndani ya masaa matatu, je hospitali zetu zimejengewa uwezo huu?

    HOSPITALI ZOTE NCHINI ZAAGIZWA KUHUDUMIA MGONJWA KWA MASAA YASIYOZIDI MATATU Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amezitaka Hospitali zote na vituo vya Afya nchini kuhudumia wagonjwa wa nje wanaofika kupata huduma kwa masaa yasiyozidi matatu. Waziri Jenista amesema hayo leo...
  8. Eli Cohen

    JF POLL: (Nini sababu ya kuongezeka kwa Atheists na Non-Believers miongoni mwa vijana hapa Tanzania). Majibu ya poll ni baada ya masaa 24

    Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu. 1: Kuongezeka upotoshaji katika dini 2: Kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha ikiandamana na matumaini finyu au lah kabisa. 3: Maswali yasiyojibika vizuri na majibu...
  9. State Propaganda

    Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

    Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
  10. The Legacy

    Jeshi la Polisi lianze kupokea Taarifa za kupotea kwa watu ndani ya masaa 14 hasa watoto

    Niko mikononi mwa Polisi Maisha yangu bado ni mikosi wote itikieni Afandee…. Wanabodi nianze kusema binafsi sifutahishwi na huu utaratibu wa polisi kusema mtu akipotea hawapokei taarifa chini ya masaa 24 tangu mtu amepotea. Huenda ndani ya masaa hayo jitihada zikafanyika na mtu akaokolewa uhai...
  11. OMOYOGWANE

    SGR: Dar mpaka Moro na Moro mpaka Dodoma masaa mangapi?

    Wakuu mimi nipo Bariadi mitaa ya Gamboshi huku. Ningependa kujua kwa mlio tumia SGR by experience Dar to Moro na Moro to Dodoma ni masaa mangapi? Na nauli ni Tsh ngapi ? Watu wa Mwanza Bariadi Shinyanga na Musoma safari ya kwenda Dar ni mateso huwa tunafika usiku mnene Napenda kujua ili...
  12. W

    Wale wa masaa 5-9 ni wiki nyingine ya Mapambano

    Matatizo: Harmonize 2016 Haiyee aaah! Olelelelee Alfajiri imefika Anga inang'aa Mvua inaanza katika Ghafla tumbo la njaa Naweka sauti kwa spika Nipate umbea wa dar Mara simu inaita Jina la anko Twaha Akisema, mama yu hoi kitandani Kama si wa leo wa kesho Na kupona sizani Upate japo neno la...
  13. M

    Uvumbuzi wa zana za kisasa kurahisisha kazi; Je, muda na masaa ya kazi yatabaki yalivyo?

    Nimejiuliza sana na wewe unaweza jiuliza kidogo , unatumia masaa mangapi kufanya kazi, kwa mfano wewe ni mwalimu unatumia muda gani darasani,kusahisha na kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi, je kazi unazofanya ni fair utoke asubuhi hadi saa Tisa unusu , nimejitafakari nimegundua per day nafanya...
  14. ngara23

    Nawapongeza LATRA na SUMATRA kwa kuruhusu mabasi kusafiri saa 24

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Wiki iliyopita nilitoka nyumbani Ngara hadi Mwanza nikiwa nataka Kulala nikakuta bus la saa 9 mchana kwenda Dar, nikafika Dar saa 2 asubuhi, aisee nilifurahi mno. Zamani tulikuwa tunafika dar usiku wa manane na kuanza kusumbuka na usafiri na sehemu za...
  15. Kabende Msakila

    Pre GE2025 CHADEMA walitumia saa 6 toka Kigoma hadi Kakonko. Kazi ya CCM katika ujenzi wa barabara sasa CHADEMA hutumia masaa 2 tu

    Ni kazi kuamini:- * Kelele za CHADEMA kuhusu barabara ya Nyakanazi - Kigoma CCM imezimaliza. Sasa hii si hoja tena kwao; * Umeme si hoja tena. REA imefanya kazi kubwa kuleta maendeleo ya nishati mkoani Kigoma. * Mawasiliano ya simu ktk rural areas siyo hoja tena. Ni CCM chini ya Rais Samia...
  16. Mad Max

    24 Hours of Le Mans: Shindano la Magari linalodumu kwa Masaa 24!

    Kwema wakuu? Kuna hili shindano la magari linalofanyika kila mwaka mwezi wa sita katika mji wa Le Mans, Ufaransa, linaitwa "24 Hours of Le Mans". Hili shindano linakua nas magari sitini (60), ila yanagawanywa katika classes kama nne (4) hivi kutokana na performance, technology na aina ya gari...
  17. M

    SoC04 Kazi iendelee kwa kufanya kazi masaa ishirini na nne katika siku saba za wiki kwa kuukuza uchumi wa kila Mtanzania

    Yamkini tukiweza kuruhusu na kufungua sehemu nyingi za kiuchumi kufanya kazi usiku na mchana tutaongeza wigo kubwa la kuwapatia nafasi wasiokuwa na ajira kupata ajira. Tukiachilia hivi karibuni baadhi ya mabasi yaliyoachiwa kufanya kazi ya usafirishaji wa abiria usiku na baadhi ya makampuni...
  18. X

    Donald Trump ajiunga TikTok ndani ya masaa 24 tu amepata followers milioni 2

    Make China great again? App ileile ambayo alitaka kuifungia akiwa raisi. Mzee kachekecha akili akaona ili apate kura za vijana ajiunge TikTok Post yake ya kwanza tayari imepata likes zaidi kuliko posts zote kutoka kwa @BidenHQ katika muda wa miezi 4 ambao wamekuwa kwenye TikTok. Tutashuhudia...
  19. kichongeochuma

    Hii sheri kandamizi ya kikoloni ya kuweka watu wasio na hatia ndani masaa 24 ndiyo inayofanya wakuu wa mikoa na wilaya wajione miungu, iondolewe

    Hii sheria ni ya kipuuzi kabisa ndiyo inayo fanya hawa wakuu wa mikoa wajione wanaweza kufanya lolote kwa mtu yeyote wakati wowote, naamini endapo bunge letu lingekuwa ni bunge kweli la wananchi huo ujinga ungefutuliwa mbali Hii inamfanya mkuu wa mkoa ajione yeye ni mungu maana anaweza fanya...
  20. E

    Mwendokasi imekuwa ni kero sana

    Jambo la Kwanza mwendokasi jamani umekuwa kero sana Leo tumekaa kituoni kama masaa mawili. Gari lilipokuja tulijazana kiasi kwamba vioo vya mlango vilivunjika na pia kuna mama alizimia. Tunaomba hili Suala liingiliwe kati.
Back
Top Bottom