masaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

    Kwa leo sitaandika mengi. Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu. Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June...
  2. kekule benzene

    Tunafanya kazi saa moja hadi saa saa 12, Kuna watu wanataka wagome

    Standard working hours
  3. Ahyan

    Saa 12 bila umeme Lushoto

    Hii hali kwa sasa imekuwa ni zaidi ya kero, masaa 12 hakuna umeme. Mmeshawahi waza ni shughuli ngapi zinasimama kwa kutokuwepo kwa umeme? Na je mkawaza ni kiasi gani cha mapato kinapotea kwa wakati huo ambao umeme haupo? Kuweni serious hata kama ni marekebisho si kwa muda wa masaa 12. Mama...
  4. Tuko

    Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM kusimamisha magari kwa saa tatu ni halali?

    Wanaofahamu sheria naomba watusaidie... Ni viongozi gani wa kitaifa wanatakiwa kusubiriwa kupita na watumiaji wengine wa barabara kustopishwa? Karibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo yupo mkoani Morogoro kwa ziara na mikutano. Leo jumapili tarehe 5/2/2023 asubuhi barabara zote za kuingia na kutoka...
  5. MK254

    Wanajeshi 900 wa Urusi wameuawa ndani ya masaa 24

    Mizoga ya Warusi inaendelea kutapakaa Ukraine. ========= The General Staff of the Ukrainian Army has indicated that 910 Russian servicemen have been killed during the last 24 hours and added that so far the clashes have resulted in more than 123,000 Russian soldiers "liquidated". He also...
  6. Jackal

    Putin Atangaza Kusitishwa Kwa Vita Vya Urusi Na Ukraine Kwa Masaa 36

    Wadadisi wa mambo Wanasema ni mwanzo mzuri🤔 ... https://www.express.co.uk/news/world/1717211/Ukraine-war-Russia-tank-weapons-Bonus-battlefield-combat-live
  7. kavulata

    Kanuni ya masaa 72 timu kucheza mechi haiswihi kwa Tanzania

    Nchi yetu ni kubwa sana na timu zimetawanyika sana kwenye mikoa, wilaya, tarafa, kata hata kwenye vijiji. Viwanja vyetu vingi havina dimba nzuri la kuchezea hivyo linazalisha ajali nyingi zisizozuilika kwa wachezaji. Wachezaji wetu wengi hawakutokea kwenye sports academies hivyo wanarukiana tu...
  8. Four-Star General

    Kwa mabehewa haya ya SGR Dar mpaka Mwanza ni masaa mangapi?

    Nimeyaona leo hapo town, mzigo umeanza majaribio. Kwa makadirio yako unahisi Dar mpaka Mwanza itakuwa siku ngapi?
  9. NetMaster

    Mechi ya Simba dhidi ya Ihefu ichezwe uwanja wa Mbeya mjini, Kusafiri takribani masaa mawili na nusu kwenda uwanja wa Ihefu ni kuchoshana tu.

    Timu inatoka Dar kweda Mbeya kwa ndege safari ya takribani saa mawili, timu inafika mjini na kupumzika kwenye hoteli za mjini, mazoezi yanafanyika uwanja wa Sokoine wa hapo hapo mjini unaotumika kwa mechi za mbeya city na prisons. Timu inabidi ianze safari ya masaa mawili na nusu kwa basi siku...
  10. NetMaster

    Tunaisubiri kamati ya masaa 72 kutoa adhabu kali kwa mtindo waliotumia wachezaji wa Mbeya City kushangilia

    Tadadhalini kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chenu mnapopitia taarifa mbalimbali za mechi za Ligi Kuu tunaombeni mliwekee uzito hili jambo la mtindo wa ovyo waliyotumia Mbeya city kushangilia bao la kusawazisha. Ni mtindo ambao ipo kinyume na maadili wazi wazi, hapo...
  11. 44mg44

    Mechi ya Ujerumani dhidi ya Japan inaanza saa ngapi kwa masaa ya hapa Tanzania?

    Nina shauku sana ya kwenda kuwaangalia Wajerumani wakiwa wanamfunga mtu! Hii mechi kali na muhimu inaanza saa ngapi wadau?
  12. BARD AI

    Elon Musk aagiza wafanyakazi wa Twitter wawajibike kwa masaa mengi au waache kazi

    Mmiliki huyo mpya wa Twitter amewatumia Barua Pepe wafanyakazi wake ikiwa na masharti mapya ya utendaji huku akiwataka wanaokubaliana nayo kujaza fomu maalumu hadi kufikia leo Nov 17, 2022 jioni wawe wamezikabidhi. Musk amesema "ili kwenda mbele, na kujenga mafanikio ya Twitter 2.0 na...
  13. Said Stuard Shily

    Yamebaki masaa 24 Mashabiki wa Simba tuwe na furaha

    Mungu ni mkubwa najua anaenda kujibu maombi yetu mashabiki wa SIMBA pale tutakapo shuhudia marefa makini wakichezesha mechi ya UTOPOLO na Club Africans,tunajua haki itandeka kwenye hiyo mechi ni suala la muda tu..
  14. sinza pazuri

    Mbosso ameisimamisha nchi kwa masaa kadhaa

    Baada tu ya kuachia EP yake sasa nchi yote imesimama inamsikiliza Mbosso. Kila kona ya taifa la Tanzania basi Mbosso ndiyo habari ya mjini. Kwa wale waliyokuwa wanaulizia matokeo, kwenye soka tunasemaga "Uwanja umeinama".
  15. MK254

    Ndani ya masaa 24, Urusi wamepoteza ndege ya kivita, helikopta na vifaru 18

    Huku Ukraine wakiendelea kusubiri wanywa gongo wanaotumwa na Putin kuja kupigana kwa niaba ya wanajeshi waliokimbia mapambano, Ukraine bado wanatembeza kichapo..... Russia suffered significant losses of military equipment both in the air and on the ground over the last 24 hours, the Ukrainian...
  16. masopakyindi

    Barabara Kuu ya Dar-Tunduma imefungwa kwa saa mbili hadi sasa

    Barabara Kuu ya Tunduma-Dar ea salaam imefungwa. Maso nipo hapa kijiji cha Viwenge Iringa. Mpaka sasa kuna magari zaidi ya elfu moja yanasubiri kupita. Tunajua hii barabara kuu ni biashara kubwa na tunachosikia eti kuna shughuli ya Mwenge kijijini. Hii ni absurdity at its best. Unafunga...
  17. J

    KAHAMA : Afariki dunia masaa machache baada ya kuhesabiwa kwenye sensa ya Agosti 23

    TAARIFA KWA WOTE, IELEWEKE SIO SENSA IMEMUUA ILA ALIKUWA HOSPITALI AKIJIUGUZA HAPO KABLA, KILA MMOJA AHESABIWE MIMI KAMA JABALI TAYARI NIMEHESABIWA LEO NAKUOMBA KAMA UMEKOSA NAFASI LEO SIKU BADO ZIPO KAHESABIWE. Hospitali ya Kahama, mkoani Shinyanga === Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 60...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa mara ya Kwanza nimepokea Call zaidi ya 500 na SMS 2076 ndani ya masaa 11; Vijana Nani kawaloga?

    Kwema Wakuu! Simu yangu leo ilikuwa bize ungedhani ni Customer Care wa Voda, nimeiona, kihere here kimeniisha, hapa nimeblock all unknown Call ili simu yangu ipumzike Kwanza. Unaweza ona Masikhara lakini ndio ukweli wenyewe. Kutokana na kile kilichotokea na kudaiwa kuwa video ya Msanii Oprah...
  19. B

    Viongozi wa Tanzania mnafahamu kwamba wanaotukopesha (matajiri) wanafanya kazi saa ishirini na nne? Sisi tunakwama wapi kuruhusu biashara 24hrs?

    Jeshi la Polisi wanapiga marufuku wanafanya biashara ya usafirishaji abiria kufanya kazi masaa ishirini na nne lakini wao wapo kazini masaa ishirini na nne wanamlinda nani?Kwanini tumekariri kwamba tunapaswa kuwa na mfumo wa kufanya kazi Mchana pekee? Kwanini Polisi wasisimamie usalama wa...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Ofa ya masaa 48 ya kitabu cha mlio wa risasi harusini

    Kwema! Wadau wangu na wapenzi wa kusoma Riwaya, nimetoa Ofa ya Softcopy ya kitabu cha MLIO WA RISASI HARUSINI Kwa Tsh 3500/= PFA hii itadumu Kwa masaa 48 tuu, mpaka jumanne saa sita za usiku. Namba ya muamala 0693322300 Airtelmoney Robert Heriel 0758216209 M-PESA Robert Heriel
Back
Top Bottom