Mfano mechi ya leo kati ya 5imba na Wydad. Tofauti ya masaa kati ya Tz na Morocco ni masaa matano. Muda ambao mechi inaanza itakuwa saa nne za usiku huku Tanzania. Muda huo wachezaji wengi professional huwa tayari wamelala. Maana yake kikawaida wachezaji wa Simba wangekuwa Tz muda huo wangekuwa...
Vyanzo vya Kizayuni, baada ya kipindi kirefu cha kudhibiti na kuficha habari kuhusiana na vifo na majeruhi wake vitani, hatimaye vimekiri kuuawa askari jeshi wake 75 katika saa 24 zilizopita.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, kanali 12 ya televisheni ya utawala wa Kizayuni ikimnukuu mchambuzi wa...
Kwema wakuu?
Kwa Hali ilivyo usalama barabarani nyakati za usiku ni mdogo madereva hawazingatii Sheria barabarani wakati wa usiku maana hamna Oolisi. Malori nayo ndio mida yao ya kukimbia so ajali ni nyingi mno. Madereva pia usiku wanasinzia barabarani sababu ya uchovu.
Kuna siku nimesafiri na...
Kuna malalamiko kutoka kwa wananchi kwamba Jeshi la Polisi Tanzania kitengo cha Usalama Barabarani wanafunga barabara kwa sababu ya Mwamposa hivyo kusababisha msongamano mkubwa wa magari. Hizi ni barabara za umma, kama mtu ana biashara yake anawahi na muhimu anunue Chopa sio kuleta usumbufu kwa...
Salaam,
Ni kweli bila Polisi hakuna utii wa Sheria.
Ila Kitendo cha Polisi kujipendekeza kwa Wanasiasa ili wasifiwe au wapewe vyeo vya kisiasa ni kuwaonea wananchi.
Ni kweli Polisi wanapambania matumbo yao, ila hili la kuzuia wafanyabiasha na Wasafiri kuchelewa kufika kisa kiongozi wa...
Jeshi la Israel linakabiliwa na mapambano makali kutoka kwa wapiganaji wa Hamas ndani ya Gaza.
Masaa 24 yaliyopita Israel imepoteza zaidi ya wanajeshi 24 kwa kuuawa na wapiganaji wa Hamas
huku wengine wakitekwa nyara.
Hali hiyo imepelekea Leo hii kuanzia asubuhi Israel kushambulia misikiti...
Nilitoka nikaenda sehemu kupata vyombo na kuchill na washikaji! Sasa tangu niingie pale, meza moja alionekana njemba akiwa na mdada na kwa ukaribu wa jinsi walivyokaa inaonekana ni wapenzi au couple! Sasa bwana muda wote mdada analia na kutoa mchozi njemba inambembeleza kwa kumshikashiga bega na...
Polisi Wilayani Chunya wamezuia magari yote toka Chunya Makongolosi na yote toka vijijini KUSUBIRI MWENGE upite toka saa10 mpaka saa 5 hii.
Mwenge haujulikani uko wapi na utapita saa ngapi. Shughuli zote zimesimama KUSUBIRI upite. Sasa tutalaumuje kwamba maendeleo hayaji Wakati watu...
Habari wana jukwaa,
Kilio changu ni Hapa Mbeya Mjini maeneo ya iwambi, Iyunga na Mbalizi umeme unasumbua Sana.
Pia hawatuambii tatizo, Rais Samia tunakuomba uwe mkali saaana watendaji wako wanakuangusha, Miaka mitano ya Hayati Magufuli tulisahau hizi kero lakini kwa sasa imekuwa kawaida tuuu...
"Nilipoenda na Mchezaji wangu Fiston Mayele huko Pyramid FC aliko sasa alishangaa vitu vingi na sasa ni Upimwaji wa Afya ambao kwa Wenzetu walioendelea na hata huko Ulaya ni tofauti na hapa Tanzania"
"Mayele alipofika aliambiwa kwanza akalete haja kubwa yake tayari kwa Vipimo. Kiukweli...
Jeshi la Urusi linaendelea kulemazwa.....
Ukraine’s defence forces have destroyed 6 Russian ammunition storage points and 21 pieces of military equipment on the Tavriia front in southern Ukraine over the course of the past 24 hours. Russia lost up to two companies’ worth of military personnel...
Imefika wakati najiuliza, hivi angekuwa ndio Mama yangu anapigwa spana namna hii non- stop ningejisikiaje? Nimejikuta namuonea huruma tu huyu mama, maana anaweza kuwa mama yangu mzazi kabisa.
Imefika wakati najiuliza, is she being ‘black mailed’?, kwamba she has no choice? Au amekuwa...
Sikutaka kusimulia kisa hiki lakini nimepatwa msukumo baada ya jamaa yangu kupatwa na jambo lake la kustaajibisha huko Magu.
Miaka ya nyuma nilikuwa nikifanya biashara ya kuuza kemikali za migodini huko kanda ya ziwa.
Nilizunguka Geita, Kahama, Tarime, na sehemu mbalimbali zenye uchimbaji wa...
Dar es salaam mpaka Morogoro ni umbali usiozid kilometa mia mbili lakini muda unaotumika kwa sasa hasa mabus ya Abiria ni masaa manne mpaka matano.Hii haina tija kwa uchumi wa nchi.
Ni lazima lifanyike jambo la haraka.
Usije kumpima mwenza wako kwa yale masaa machache mnayopanga mkutante sehemu flani, out za weekend ama baadhi ya siku yeye kuja kulala kwako hasa katika ulimwengu huu wa sasa wenye teknolojia ya mawasiliano kama simu.
Kuna mengi sana ambayo mtu ulienae huwezi kuyajua atafeki kwa muda mchache...
Nina pocket router huwa naitumia katika shughuli zangu, uwezo wa battery yake umeshuka na sasa inakaa masaa mawili ama matatu tu.
Nina power bank ina 10000 Mah, nataka niwe naitumia badala ya battery ya hio pocket router.
kuna sehemu imeandikwa hivi
Je kitaalam ntakuwa nimetatua tatizo ?
Katibu Mukhutasi wa Kampuni ya Usangu Logistics (T) Ltd, Tamal Ramja (24) na Meneja wa Kampuni hiyo, Salum Salim (37) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka 460 yakiwemo ya kula njama, kughushi saini na kujipatia Sh428 milioni mali ya kampuni hayo.
Washtakiwa hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.