Msanii, mtangazaji, na mtumishi wa Mungu, Emmanuel "Masanja Mkandamizaji" Mgaya, leo Disemba 25, ameonesha kwa mara ya kwanza maendeleo ya ujenzi wa kanisa lake jipya, Feel Free Church.
Kanisa la Feel Free Church linajengwa maeneo ya Uwanja wa Barafu, Mburahati, jijini Dar es Salaam...