NW UTALII MHE. MARY MASANJA ALIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mary Masanja ameshiriki katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Wilayani Kwimba Mkoani Mwanza Machi 8, 2023.
Akizungumza katika Maadhimisho...
NAIBU WAZIRI MASANJA AONGOZA KIKAO CHA TAASISI ZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja ameongoza kikao cha kimkakati cha kufanya mapitio ya taarifa mbalimbali za utendaji kazi za Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa lengo...
MHE. MARY MASANJA - WATANZANIA WATAKIWA KUENZI MASHUJAA WA VITA VYA MAJIMAJI KWA KUHIFADHI MILA NA TAMADUNI
Watanzania wametakiwa kuendelea kuwaenzi Mashujaa wa Vita vya Majimaji kwa kuhifadhi mila na tamaduni zao kwa kufanya kazi kwa bidii, kulinda rasilimali za Taifa, kupambana na kuzuia...
NAIBU WAZIRI MASANJA ATATUA MGOGORO WA MPAKA KATI YA KIJIJI CHA BUGER NA HIFADHI YA TAIFA ZIWA MANYARA
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ametatua mgogoro wa mpaka kati ya Hifadhi ya Ziwa Manyara Mkoani Arusha na wananchi wa kijiji cha Buger katika Jimbo la Karatu...
Katika chapisho lake la hivi punde kwenye mtandao wa TikTok, Paula aliiga sauti ya mwanamke akiweka wazi kuwa hayuko tayari kuolewa.
“Mwanaume akisema anataka kukuoa sasa hivi utamchukulia aje?” sauti ya mwanaume iliuliza kwenye video.
Sauti ya mwanamke ilijibu kwamba mtu ambaye ana nia ya...
TRC wanajichanganya sana, na pengine mwisho wa siku Masanja Kadogosa itabidi afungwe jiwe shingoni na kutupwa chini ya treni, lakini TRC wangesema waziwazi kuwa pesa zilizozidi kwenye bei ya behewa imekwenda kusaidia shughuli za chama ikiwemo mkutano mkuu unaoendelea. Mjadadala ungeshakwisha...
Yani hizi updates za Jamaa kugongewa na kuchapiwa zinachagamsha jamvi kichiz na kusisimua.
Watanzania tunafurahiiii nakusahau shida zetu.
Naomba tu hili saga liendelee hadi krismas huko watu tuenjoy maumivu ya wengine kwasababu huu mlo mmoja kwa siku wengi tunaupata bila kusindikizwa na umbea...
KAJALA MASANJA: KUZAMA KUZIMU NA KUIBUKA TENA KILELENI.
Moja ya wanawake wanaopaswa kupigiwa mfano kwa aina ya maisha ya ajabu sana ambayo ameyapitia basi ni mwanadada Kajala Masanja. Misukosuko, changamoto, makosa aliyoyafanya na hatimaye leo hii kuweza kuibuka kuwa moja ya wanawake maarufu...
Kama kuna watu wanamdaganya eti ooh wewe ni kioo cha jamii mara pasta
Huo ni uboya. Mtu yeyote anayejielewa hawezi kukubali upuuzi uliofanywa na Monica.
Kuendelea kuishi naye ni kujitakia maumivu ya moyo maisha yake yote.
Let it go. Waafrica tudanganyana Sana eti ndoa za maisha, Bill gate...
Kwanza nawasalimu kwa jina la Chama Pendwa CCM.... Yaani penda usipende CCM imebeba matumaini yako kama mtanzania.
Tukirudi kwenye lengo la uzi ni kwamba nimeshangazwa sana na watu wanaomshambulia mmiliki wa kanisa la Feel-Free, comedian Masanja Mkandamizaji kwa kumsamehe mkewe anayesemekana...
Video hiyo hapo
"Yaani namuachaje huyu msichana, nimuache huyu dada halafu? Yaani hata ndoa ziishe leo zote halafu kesho tuanze upya namrukia huyu huyu! Nataka niwaambie kwa lugha rahisi, ninamshukuru Mungu kwasababu Mungu yupo kazini."
"Yote ambayo wanangu mnasikia, msiende na mikumbo watu...
Nchi hii inaendeshwa na rimoti na watu fulani.
Kila mara inapotokea issue yenye maslahi mapana kwa raia, na washika remote hawataki tuijue au tuijadili basi kwa gharama yoyote ile watatuletea tukio la kutupoteza maboya.
Kipindi cha kasha ya Epa akaibuliwa Babu wa Loliondo, akapewa promo hadi...
SAKATA LA KIFO CHA KATIBU NA KILE ALICHOTUACHIA.
Na Robert Heriel
Ishu hii inasikitisha na kuhuzunisha mno. Ni tukio baya pia linalofedhehesha.
Tukio la unyama na udhalilishaji uliovuka mipaka kuvua Utu WA Mtu.
Unapozungumzia kutoka na Mke WA Mtu sio Jambo la mchezo. Kila mtu anajua Kwa...
Kuna siku baada ya ibada nilikushauri ubadili jina la kanisa maana jina lasasa lina shida na nikakwambia maneno yanaumba ila ukaniambia jina liko sawasawa na huna mpango wa kubadili. Tangu sikuile sikuja wala hatujaonana.
Iko hivi, wewe mwenyewe umewaambia waumini wako (pamoja na katibu) kuwa...
Wote tunamfahamu Masanja vizuri alivyojilea na kujikuza. Ni mchekeshaji na ndiyo kazi iliyomtangaza. Lakini pia tunamfahamu kuwa ni mropokaji asiye na adabu mbele ya watu na ana matusi na mizaha isiyo na mipaka.
Sasa mtu kama huyu anaanzisha kanisa la kumwabudu Mungu halafu watu wanamfuata na...
Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali.
Kamanda anasema ni kweli siku moja kabla ya kifo cha Katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano naye na...
Ni aibu kubwa mno kuona jinsi gani mijitu na ndevu zao yanavyoanzisha mada kuonyesha kufurahishwa na tukio la zinaa la mke wa Masanja Mkandamizaji. Nasema tukio la zinaa kwa sababu hakuna mwanamume yeyote anayetazama upande wa pili wa marehemu mzinzi isipokuwa GENTAMYCIME pekee, bali wengine...
Nitaeleza kifupi kwa mtindo wa maswali!
Kwa hali ya kawaida chimbuko la mapenzi hayo yanayosemwa kama yalikuwepo basi yatakuwa yameanza hivi!
Kuna uwezekano mke wa dogo alitafunwa, ndipo mama mchuu naye akaona ya nini kujibana akaona akamtunuku dogo! (Yamkini)
Kuna uwezekano mama mchuu aliona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.