KAJALA MASANJA: KUZAMA KUZIMU NA KUIBUKA TENA KILELENI.
Moja ya wanawake wanaopaswa kupigiwa mfano kwa aina ya maisha ya ajabu sana ambayo ameyapitia basi ni mwanadada Kajala Masanja. Misukosuko, changamoto, makosa aliyoyafanya na hatimaye leo hii kuweza kuibuka kuwa moja ya wanawake maarufu...