Kolabo la wasanii wa bongo fleva kumpongeza Mh Rais, limetiwa doa na maneno ya Masanja Mkandamizaji.
1.Eti JPM ndiye Rais pekee duniani anayemuamini Mungu 100%. Hivi ana takwimu gani na Imani za Ma rais? Toka lini kumwamini Mungu imekuwa sifa ya urais hapa TZ? Huyo Mwl. Nyerere anayemsema yeye...