masasi

Masasi is one of the six districts of the Mtwara Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Lindi Region, to the east by the Newala District, to the south by the Ruvuma River and Mozambique and to the west by Nanyumbu District.According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Masasi District was 247,993 and in Masasi town the population was 102,696.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Mbunge adai Masasi hawana shida ya vitabu shuleni

    Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Masaai amewashambulia wanaodhaniwa kuwa ni watia nia. Mbunge huyo amedai kuwa watu wastaafu hawapaswi kugombea ubunge. Akiongea katika mkutano na wananchi amedai kuwa mbunge anatakiwa awe kijana mwenye kuweza kukimbia kimbia, hivyo yeye ndio anafaa. Aidha...
  2. Utaratibu wa kuwahamisha watumishi wa umma idara ya afya halmashauri ya mji Masasi mtwara kuwapeleka Sekta Binafsi uangaliwe upyaa

    Fikiria unawapelekea Vituo binafsi vijana wenye nguvu, kisa wanahoji kuhusu matumizi ya hela ambazo ki msingi wao ndio wanazikusanya? Kituo cha private unapeleka wafanyakazi zaidi ya wawili hapo nani ananyfaidi? Serikali inafaidikaje na hawa watumishi waliopo vituo hivi? Unamtoa Mfamasia...
  3. D

    Mabasi ya kutoka Dar hadi Masasi, nayo yapo kwa saa 24?

    Naomba kujuzwa iwapo mabasi ya kutoka Dar kwenda Masasi yapo nyakati zote usiku na mchana. Iwapo hayapo nyakati zote, naomba kujuzwa ratiba zake.
  4. Wagombea wa Upinzani wamewekwa Ofisi ya Wilaya siku 3 kwa mahojiano, Masasi

    Viongozi mliopo humu, mjue na mtambue ambacho kinaendelea halmashauri ya wilaya ya Masasi. Wagombea wa upinzani wamekalishwa siku ya tatu mfululizo pasipo maelekezo ya aina yeyote. Hii inaonesha kwa namna gani DAS na watu wake wanaendelea kuhujumu wagombea. Watu wanahojiwa karibu masaa matatu...
  5. N

    Ajira za madaktari Ndanda Referral Hospital, Masasi

    Habari wakuu? Baada ya serikali kunyakua madaktari na kuwapa ajira, sasa baadhi ya hospitali kuna nafasi zimeachwa wazi, hospitali ya rufaa inatafuta madktari daraja la II. Kama una ndugu yako hajafanikiwa hizi za serikali basi mjulishe! Kwa bahati mbaya leo ndo mwisho wa kutuma maombi...
  6. Judith Kapinga: Serikali inaunganisha Mtwara na Lindi kwa umeme wa gridi kutokea Songea kupitia Tunduru, Masasi -Mahumbika

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inatekeleza mradi wa kuiunganisha Mikoa ya Mtwara na Lindi na umeme wa gridi kutokea Songea kwa kupitia njia ya Tunduru, Masasi -Mahumbika. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Novemba 04, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la...
  7. Kuna tatizo kubwa la kiutawala wilaya ya masasi

    Imepita miaka mingi wilaya ya masasi imegubikwa na mambo ya hovyo hovyo na hayaondoki kila siku hujirudia na utadhani hakuna viongozi wanaopaswa kutatua kero hizo 1. Umeme, sidhani kama kuna wilaya ambayo inaongoza kwa kukatakata umeme kama masasi 2. Barabara zilizobomolewa kuacha bila...
  8. Wakuu, naombeni taarifa hizi muhimu kuhusu route ya Masasi kwenda Sumbawanga

    Habari zenu humu ndani Ningependa kujua kama pale stendi ya Masasi naweza pata bus ya moja kwa moja hadi sumbawanga Kama lipo je nauli ni bei gan na kama hakuna je njia gani naweza pita adi kufika sumbawanga kutokea pale masasi na gharama zake ni bei gani
  9. T

    Wenyeji wa Masasi Mtwara naombeni ufafanuzi wa haya

    Wakuu kwema.! Wiki ijaona natarajia kusafiri kwenda wilaya tajwa hapo juu natokea mvomero, Morogoro, nitakuwepo huko kwa siku 21 Naomba kuuliza machache, Usafiri wa kwenda huko unaanzia Moro ama Dar kama natokea mvomero? Gari gani zinaenda huko? Nikiondoka asubuhi naweza kufika siku hiyo hiyo...
  10. Masasi Mtwara: Wafanyabiashara wametakiwa kujenga tabia ya kuweka akiba katika biashara zao

    Na Chedaiwe Msuya,WF,Mtwara Wafanyabiashara wametakiwa kujenga tabia ya kuweka akiba katika biashara zao ili kuhakikisha wanakuwa na maendeleo endelevu. Afisa Sheria Mwandamizi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Ramadhani Myonza, alitoa wito huo alipokuwa akitoa elimu ya utunzaji na...
  11. Bashungwa atoa saa tatu kurejeshwa mawasiliano ya Barabara ya Mtwara - Masasi iliyokatika

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameelekeza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuhakikisha wanarejesha mawasiliano ya barabara iliyokatika eneo la Maili Mbili katika barabara ya Mtwara-Mingoyo-Masasi ndani ya masaa matatu mara baada ya Daraja kusombwa na maji katka eneo hilo. Bashungwa ametoa...
  12. B

    Gharama za gesti za bei nafuu Newala na Masasi

    Habari zenu wana Jf, Nina safari ya kwenda Masasi kesho insha'allah then nitaenda Newala kisha Mtwara mjini. Naomba kuulizia anayefahamu gesti za bei nafuu kwa Newala na Masasi bajeti ya sh elfu kumi hadi kumi na 5. Asanteni sana ndugu zanguni
  13. K

    Sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi

    Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi. Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za...
  14. Mahusuano mabaya: Viongozi Masasi Mkoani Mtwara kaeni mjipange vizuri

    Katika hali ya kipekee leo Rais katika zuara yake Masasi Mkoani Mtwara amepokea kero mbalimbali lakini kero hii ya mahusiano amewataka viongozi wakae. Ni kweli zipo kero nyingi lakini kero inapofikishwa kwa Rais inapata uzito. Kero hii inaonesha bado tuna safari ndefu sana katika utekelezaji...
  15. Basi gani linalotoka Mbeya kwenda Masasi/Mtwara?

    Habari Wazee wenzangu, Naulizia bus za kutoka Mbeya hadi Masasi au Mtwara Mkoani. Kama zipo ni kampuni gani na nauli ni shilingi ngapi hadi Masasi Town. Asante.
  16. Masasi wampa tano Rais Samia

    MWENYEKITI Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Mtwara , Julius Kaondo, amesema lengo la Serikali ni kuwezesha kundi la watu wenye changamoto ya kiuchumi katika maeneo yao kwa kuwapa usaidizi ili waweze kujinyanyua wenyewe. Kaondo amesema hayo juzi wakati wa kikao cha Wazee maarufu na Mkurugenzi wa Mji wa...
  17. DOKEZO Kuna kiongozi mmoja idara ya Elimu Sekondari halmashauri Masasi DC hana utu

    Katika pitapita yangu nimekuta walimu wa Sekondari halmashauri ya wilaya ya Masasi wakibadilishana mawazo lakini katika hali ya kulalamika kuwa kuna kiongozi mmoja ndani ya idara ya Elimu Sekondari hana utu. Nilitamani sana kujua ana matatizo gani hasa, yafuatayo yalibainishwa kuwa ndiyo...
  18. DOKEZO Viongozi wa Halmashauri ya Mji Masasi ni tatizo, Mkurugenzi huyu anawaonea watu

    Mimi nina jambo natamani kuchangia lijulikane kwa umma, imekuwa ni kawaida sana kwa Watumishi wa Serikali hasa katika Halmashauri ya Mji Masasi kuwahudumia Wananchi hovyo na kwa uonevu. Inapotokea mwananchi akaenda kwa Mkurugenzi wengine wanatushiwa hadi kuwekwa ndani ilimradi tu Mkuu awalinde...
  19. Mtwara: Vijiji 60 wilayani Masasi havina maji safi

    Vijiji hivyo havina huduma ya maji safi na salama, tangu kuanzishwa kwa Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA). Wakazi wa eneo hilo wameshauri viongozi wa RUWASA kuacha kuchanganya siasa na maji. Diwani wa Kata ya Nang’ang’a, Hams Twalibu amedai Wananchi wamekuwa wakidai...
  20. Mtwara: Mzazi arejeshewa kichanga alichodaiwa kukitupa porini baada ya kujifungua, hali ya sintofahamu yaibuka

    Kichanga cha siku moja kilichookotwa na Afisa Mtendaji, Haridi Karo wa Kata ya Pachani, Mtaa wa Mtandi - Masasi Mkoani Mtwara kimeibua mvutano kati ya Ofisi ya Ustawi wa Jamii Masasi na Polisi wilayani humo. Mvutano huo umeibuka baada ya Afisa Ustawi wa Wilaya, Leila akishikiriana na Mkuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…