Masasi is one of the six districts of the Mtwara Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Lindi Region, to the east by the Newala District, to the south by the Ruvuma River and Mozambique and to the west by Nanyumbu District.According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Masasi District was 247,993 and in Masasi town the population was 102,696.
Jamani hizi takwimu za wanafunzi huko Kusini Mtwara kuacha shule ni kubwa sana. Yaani zaidi ya wanafunzi 1500, hii siyo ya kufurahia wala kuchekea. Tuwaombee wenzetu.
Ila pamoja na haya, mbona wamezitaja Wilaya za Newala vijijini na Newala Manispaa? Masasi nayo ipo Mtwara, mbona haijatajwa...
Anaandika Mo Mlimwengu.
Historia hutusaidia kujua tulipotoka, tulipo na tunapoenda. Mh Geofrey Mwambe Mbunge wa Masasi Mjini anazidi kujipambanua kiutendaji namna ambavyo anajitahidi kusukuma maendeleo kwenye jimbo lake.
Binadamu tumeumbwa kusahau na kuna wakati mtu akifanya mazuri tunaona ni...
Kufuatia mfululizo wa mauaji ya kikatili hasa kwa Wanawake Wilayani Masasi Mkoani Mtwara, Jeshi la Polisi limedai kuwa vyanzo vingi ni masuala ya mapenzi.
Kauli hiyo imetolewa baada ya tukio lingine la mauaji kutokea usiku wa kuamkia jana Agosti 11, 2022, ambapo mwalimu wa Shule ya Msingi Mbaju...
Mfululizo wa matukio ya mauaji ya kikatili hasa kwa Wasichana yaliyotokea hivi karibuni Wilayani Masasi Mkoani Mtwara kumetajwa kusababisha taharuki na hofu kwa wenyeji.
Kwa mujibu wa taarifa za vifo hivyo tangu Januari hadi Agosti mwaka huu wasichana watano na mvulana mmoja wamekutwa wameuawa...
Nimeona na baadhi ya maeneo uwekaji wa vibao vya barabara na mitaa namna ambavyo imeacha maswali kwa wananchi, binafsi nimeyakuta haya Masasi hasa vijiji vya Masasi Dc.
Wakati zoezi linaanza nilifikiri pengine utaratibu mpya wa kupata majina na vibao elekezi vya mitaa na barabara lingefanyika...
Mbunge wa jimbo la Masasi Mjini, Geofrey Mwambe na familia yake wamenusurika kifo baada ya gari binafsi waliyokuwa wakisafiria kushika moto na kuteketea kabisa leo Machi 27, 2022.
Mbunge huyo na familia yake walikuwa wakielekea Masasi kwenye msiba wa baba yake mzazi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Madereva wa magari yanayofanya safari Kati ya Mtwara na Masasi na Mtwara Lindi wamegoma kufanya kazi kutokea stendi kuu ya mkoani Mtwara kwa madai ya kutoridhika na nauli ya sasa na kutaka ongezeko la nauli.
Kwa sasa nauli ya Mtwara Masasi ni 7,500 na wanataka ifike 10,000.
Na Mtwara Lindi...
Kwa muda wa zaidi ya wiki mbili sasa Korosho za wakulima zimeshindwa kwenda mnadani katika vyama vya msingi vilivyo vingi kama si vyote.
Kinachoelezwa chanzo ni ukosefu wa Magunia ya kuhifadhia na kusafirishia Korosho. Hali hii inaharibu kama si kuua soko la Korosho ambalo linaingiza mapato...
Wadau, leo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi aliamua kumvua cheo Mwalimu Mkuu shule ya Msingi Chiwata tena mbele ya halaiki ya watu kisa kakosa hela ya kutoa harambee ya kuchangia maendeleo ya Kata.
Mkutano huo ulikuwa umeandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Cecil Mwambe...
Nategemea kwenda Masasi, Mtwara mwezi September 2021 kwa wiki moja. Hii itakuwa mara ya kwanza kufika maeneo hayo ya kusini.
Nitashukuru kwa mawazo ya members humu ni wapi maeneo mazuri ya kufikia (guest houses) ambayo ni salama na iko maeneo ya mjini, na yenye gharama za wastani...
Sisi wananchi wa wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara kuanzia jana umeme umekuwa unakatika kila baada ya dakika 10 na kuleta madhara makubwa kwa sisi wananchi ambao tunautumia kwani tunaunguliwa na vifaa ambavyo vinatumia umeme.
Pia majokofu yanashindwa kufanya kazi kwa ufanisi kutokana na kero ya...
Na Hamisi Nasri, MASASI
WATU 11 wa wakazi wa wilaya ya Masasi mkoani Mtwara wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Masasi mkoani humo kwa kosa la uhujumu uchumi na kuisababishia hasara serikali ya zaidi ya sh.13 milioni.
Washtakiwa hao walifikishwa mahakamani na ofisi ya taifa ya mashtaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.