Mashabiki wa Arsenal nchini Kenya leo wamefanya siku yao ya kitaifa ya maombi kuombea mafanikio ya timu hiyo.
Wafuasi hao hufanya maombi kila mwaka ambayo imekuwa desturi, na kwa kawaida hujitolea kushiriki katika shughuli za hisani ikiwemo kutoa shukrani makanisani na kufanya maombi ya klabu...