mashabiki wa arsenal

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya Mashabiki Wa Man United wawadhalilisha Mashabiki wa Arsenal Tena!

    Uhasama wa mashabiki wa Manchester United na Arsenal nchini Kenya umechukua sura nyingine baada ya mashabiki wa Manchester United kuibuka washindi wa 5–4 kwa mikwaju ya penalti dhidi ya Arsenal katika pambano lililofanyika jana katika Uwanja wa Nyayo. Mchezo huo ulijaa ushindani mkali huku...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Arsenal Kenya wafanya party kusherehekea usajili wa Viktor Gyökeres

    Wakuu! 😄 Mashabiki wa Arsenal kule Kenya wameamua kupiga party ya nguvu kusherehekea usajili wa mshambuliaji hatari Viktor Gyökeres!
  3. Mwl Philemon

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Arsenal: Mafanikio ya Klabu Hayaji Kwa Bahati

    Tuwe Wakwelii... Luis Enrique ametumia karibu kiasi sawa cha pesa ndani ya miaka miwili pale PSG kama ambavyo Mikel Arteta ametumia katika kipindi cha miaka sita pale Arsenal. Lakini kuna tofauti kubwa sana kati ya mazingira yao wawili: Enrique alirithi kikosi kilichojaa wachezaji nyota...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aliko Dangote ajutia kutoinunua Arsenal iliyokuwa inathamani ya dola bilioni 2, sasa ni dola bilioni 4

    Mfanyabiashara tajiri zaidi barani Afrika, Aliko Dangote, amekiri kuwa anajutia kutokununua klabu ya Arsenal ambaye ni shabiki mkubwa wa Klabu hiyo kipindi ambacho thamani yake sokoni ilikuwa ni dola bilioni 2 tofauti na sasa ni $4 bilioni. Dangote alifichua kuwa alikuwa na nafasi kubwa ya...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Arsenal wafanya maombi ya kuchukua kombe

    Mashabiki wa Arsenal nchini Kenya leo wamefanya siku yao ya kitaifa ya maombi kuombea mafanikio ya timu hiyo. Wafuasi hao hufanya maombi kila mwaka ambayo imekuwa desturi, na kwa kawaida hujitolea kushiriki katika shughuli za hisani ikiwemo kutoa shukrani makanisani na kufanya maombi ya klabu...
Back
Top Bottom