Uhasama wa mashabiki wa Manchester United na Arsenal nchini Kenya umechukua sura nyingine baada ya mashabiki wa Manchester United kuibuka washindi wa 5–4 kwa mikwaju ya penalti dhidi ya Arsenal katika pambano lililofanyika jana katika Uwanja wa Nyayo.
Mchezo huo ulijaa ushindani mkali huku mashabiki wa timu hizo mbili wakipigania zaidi ya ushindi — walikuwa wakipigania heshima na bragging rights! 😂🔥
Ushindi huo unaifanya Manchester United kupata ushindi wa pili mfululizo dhidi ya mashabiki wa Arsenal, na kuwaacha mashabiki wa The Gunners wakitafakari kilichotokea tena.
Nyayo ilikuwa na soka, makelele na mizaha ya mashabiki, lakini mwisho wa siku ni mashabiki wa Red Devils waliotoka uwanjani wakiwa na tabasamu.
United 5–4 Arsenal - kwa penalti!
Mara ya pili mfululizo… Arsenal watajibu lini? 👀😂