mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Wana Simba SC tumeshachoshwa na 'Press' zenu za 'Kutuzuga'

    Tumeshawachoka sasa, yaani kila Simba SC ikifanya vibaya (ikifungwa) ili kutuzuga wapenzi (mashabiki) haraka sana kesho yake (kama hii leo) mnakuja na Press Conference (Mkutano na Waandishi wa Habari). Kama kweli Simba SC huwa mnakuwa na taarifa (jambo) muhimu kwetu mashabiki ni kwanini huwa...
  2. M

    Mashabiki wa Simba SC wanaongoza kwa kujitoa ufahamu na hawajitambui

    Leo hii analaumiwa Okrah, mechi iliyopita alilaumiwa Zoran, ya ngao akalaumiwa Inonga, sasa nyie kila mechi mtakuwa mnatafuta kichaka cha kufichia madhaifu yenu? Mlikuwa mnasema Juma Mgunda atainyoosha Yanga kwakuwa alipata sare moja ya nusu fainali kule Arusha, nikawauliza kabla ya mechi...
  3. Execute

    Mashabiki wa Club Africain tukutane hapa maana tuna jambo letu

    Baada ya kuwafurusha Kipanga mabao saba, tumepewa hiki kikundi cha Wakongomani wa jangwani wanaoitwa Utopolo. Tujipange kwa ajili ya sherehe pale kwa Mkapa na hitimisho kule Tunis.
  4. luangalila

    Mashabiki wenzangu wa Yanga tusikubali tena makosa ya kuaminishwa vitu vya ajabu ajabu

    Msemaji wetu mpya alituaminisha tungemkomelea kipigo kizito wale Waarabu weusi wa Sudan, tukawaamini mazima, pale taifa tuka ponea chupuchupu. Sasa safari hii wasitudanganye eti wale wa Tunisia ni timu ya kawaida kawaida.
  5. GENTAMYCINE

    Chagua Kisingizio Kimoja tu cha Kujitetea kwa Mashabiki wa hovyo baada ya Msudani kufanya yake

    1. Refa katuonea Saba 2. Tumefanyiwa Fujo 3. Tulipuliziwa Dawa Vyumbani 4. Tumerogwa sana 5. TFF ilitutenga haikutupa Mbinu 6. Mashabiki zetu walizuiwa Kuingia Uwanjani 7. Tumejitahidi ila Malaika Bahati hakuwa upande Wetu Bado GENTAMYCINE tena kwa Kujiamini kabisa nasisitiza kuwa hata Jumapili...
  6. luangalila

    Uongozi wa Klabu ya Yanga acheni kuwajaza upepo mashabiki wenu

    Katika mchezo wa awali walisikika na kuwaaminisha mashabiki wao ya kuwa kuna timu itapigwa 4 bila, yaani kana kwamba walijua Al Hilal ni sawa na Zalan FC, lakini matokeo yake ilikuwa chupu chupu walale nyumbani. Sasa nimeona hata katika mchezo huu wa leo zipo tambwe toka kwa uongozi na...
  7. S

    Yanga akifanikiwa kuitoa Al Hilal, hizi ndiyo zitakuwa hoja za mashabiki wa Simba

    Katika soka, lolote linaweza kutokea na haitokuwa mara ya kwanza kwa timu isiyopewa nafasi au iliyoko ugenini kufanya maajabu na kuacha gumzo pamoja na kuandika historia. Kwa msingi huo, Yanga wanaobezwa na mashabiki wa Makolo FC wakifanikiwa kuitoa Al Hilal, wenzetu hawa watakuja na hoja hizi...
  8. Unavoidable Servant

    Rais wa Al Hilal apingwa vikali baada ya kutangaza ofa kwa mashabiki wa Simba kusafirishwa kwenda Sudan

    Rais wa Al Hilal amechafua hali ya hewa, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo kutangaza ofa ya kuwagharamia mashabiki wa Simba walioishangili timu yao Jumamosi kwa Mkapa kuwalipia nauli na makazi bure ili waende kuishangilia tena Al Hilal. Na haya ndiyo majibu ya mashabiki wengi wa Al...
  9. S

    Yanga kurudiana na Alhilal: Mashabiki wa Simba wana hofu kuliko hata mashabiki wa Alhilal

    Huu ndio ukweli japo mashabiki wa Simba hawawezi kukiri. Yaani Simba wana hofu mara mbili kama siyo mara tatu ya hofu walionayo Alhilal na mashabiki wake. Mashabiki wa Alhilal wana hofu ya kawaida ya kimchezo kama ambavyo hata mashabiki wa Yanga wanayo. Hata hivyo, kwa Simba hofu iiliyojificha...
  10. luangalila

    Yanga wakitaka wawanyamazishe mashabiki wa Simba S.C basi wakashinde Sudan hata goli 2 kwa 0 tu

    Nafikiri wakifanikiwa hapo basi watakuwa wamelamba dume na watatamba nchi nzima mpaka kule kwa General. Muhonzi sijui Muhumzi. Halafu watakuwa pia wamemnyamazisha hata na Jemedari.
  11. luangalila

    Mashabiki wa Yanga jana waliamini wanashinda goli 4 kama walivyoaminishwa!

    Nikiwa katika mihangaiko yangu tu ya hapa mjini, nikapita katika vijiwe viwili tofauti vya mashabiki wa Yanga SC, niligundua kumbe ni kweli jana mashabiki wengi waliamini Msudan angekufa kwa magoli 4 . Wasiwasi wangu hii tabia ya kuwaaminisha mashabiki ni kitu kibaya, sijui hao waliko Angola...
  12. M

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Yanga ameondoshwa kwenye michuano kama baadhi ya mashabiki wanavyofikiria

    Nimeona baadhi ya mashabiki wa Yanga na wengine wa upande wa pili wakiwaponda Yanga kwamba tayari wametolewa kwenye mashindano na Al hilal. Mpira hauko hivyo waungwana, bado Yanga anayo nafasi ya kusonga mbele tena kubwa sana. Katika mechi ya Jumamosi sikuona kitu cha ziada ambacho Al hilal...
  13. GENTAMYCINE

    Huenda hii timu leo ikajaza mashabiki 350 tu badala ya 60,000!

    Mpaka muda huu nawaona walinzi tu peke yao magetini, huku uwanjani kukiwa na watu wawili tu. Hivyo huenda wanasubiriwa hao 348 waliobakia ili mbungi lianze hiyo saa 10 kamili jioni. Kuna timu moja nchini Tanzania (nimeisahau jina) yenyewe ingekuwa inacheza leo, basi mpaka saa 4 hii uwanja...
  14. Unavoidable Servant

    Maneno ya mashabiki wa Simba baada ya dakika 90 za mchezo wa leo

    Leo Yanga inakwenda kuonesha kwa vitendo maana ya uwekezaji kwenye soka ni nini? Baada ya Al hilal kupigwa kama ngoma mashabiki wa Simba watasikika wakisema hii Al hilal ni Zalan iliyochangamka tu. Sasa na wewe waulize wale waliopigwa mbili mbele na nyuma na Fiston Mayele kwenye ngao ya jamii...
  15. Lupweko

    Hawa mashabiki wangeweka mzigo (betting) wangevuna hela

    Hao watatu walisema Simba itashida 3-0. Huyo mmoja naye akasema Jenerali Moses Phiri atafunga goli. Yote hayo yametokea
  16. LIKUD

    Uongozi wa Yanga wajitafakari sana kwa hili la Privadinho kukataliwa na mashabiki

    Hekima inatuelekeza kwamba "Justice should not only be done but it must also seems to be done", kwamba haki haitakiwi kutendeka tu bali inatakiwa ionekane ikitendeka. Hata kama Privadinho kweli ni shabiki wa Yanga kweli lakini mashabiki na wapenzi wa Yanga bado hawajaridhishwa na suala la Priva...
  17. T

    Haya sasa twende kwenye klabu bingwa ya Africa tukimtegemea Phiri, Bocco na Kyombo kutuvusha. Nadhani wachezaji na mashabiki wamefurahi sasa.

    Moja kwa moja kwenye mada!! Nimekaa natafakari na kuwaza kuwa tunaelekea kwenye Champions league round ya kwanza tukitegemea uwezo wa strikers kama Phiri,Bocco na Kyombo kutuvusha huku tukimwacha Striker wa kiwango cha juu ndugu Dejan Georgijevich kuondoka!! Hivi Bocco na Kyombo ndio wa...
  18. Vontec

    Mashabiki wa Simba waumbuka... kauli ya Shaffi yaanza kuthibitisha.

    Wale mashabiki wa makolo walio mshambulia sana tena sana Shaffii Dauda Jana kwa andiko lake kuhusu hali ndani ya Simba kutokua sawa, na ata akadhibitisha kwa kuambatanisha na video ya Dejan akitaka kuzichapa na Okrah lakini bado wakawa wanabisha na kukataa katakata. Na akatoa angalizo la kwamba...
  19. M

    Mashabiki na wanachama wa simba Matumaini yao makubwa wameyaweka kwa Al hilal kumtoa yanga

    Ni wazi kwamba mashabiki na wanachama wa simba wameweka matumaini makubwa kwa Kuisifia Al hilal jinsi itakavyomtoa yanga na wanakwenda mbali zaidi kuapa ya kwamba ndo mwisho wa yanga awatoboi, lakini nafikiri wasichokijua hii ni yanga ambayo aijaingia kwenye hii michuano kwa kubahatisha, yanga...
  20. May Day

    Mashabiki wa Tanzania ni wakosa subira wakubwa.

    Kwanza niweke rekodi sawa. Tanzania hakuna Wapenzi wengi wa Mpira wa Miguu kama wanavyoamini wengi wetu, bali kuna Mashabiki wengi wa Simba na wa Yanga. Kwa isivyo bahati mashabiki wetu hawa wanachowazidi Mashabiki wa sehemu nyingine Duniani ni namna hata wanavyoshabikia hizi timu zao. Leo hii...
Back
Top Bottom