Mtu anajiita shabiki baada ya mechi moja tu kufungwa na Yanga anataka kocha afukuzwe, wengine wanatoa povu CEO Barbara aondolewe, wengine wanataka Mangungu aachie ngazi, ngoja kwanza nicheke😁😁😁
Mchezo wa mpira ni mchezo wa makosa, ni muda wa kuwaachia benchi la ufundi lifanye masahihisho ya...