mashairi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr am 4 real PhD

    Tukasikia haya mashairi ya huu wimbo pamoja

    Verse 1: wachache ndo wanaishi wengi wetu ma escorts, twiga wanapanda pipa hata bila ya passports, mikoa mingi bado haina hata airports, zaidi ya migodini madini kuya export, bila ya wazawa kufaidika, ndo mana wazanzibara wamechoka kutanga na nyika, big up Mandela leo South sio Africa...
  2. Filipo Lubua

    Tumefikia Utimamu wa Uwazimu

    Twajaa utimamu wa uwazimu, bila dhima twamhukumu imamu Huzunini twajifanyia karamu, Ramadhani twabugia kharamu Wenye wehu tumewapa hatamu, dhiki yetu itadumu dawamu Maumivu yatujia kwa jamu, watoto wetu watatulaumu Isikize yangu nudhumu, niambapo kwa yangu taalimu Niseme hilaze bin-Adamu...
Back
Top Bottom