Doto Mashaka Biteko (born December 30, 1978) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Bukombe in 2015.He was appointed as the Minister of Minerals on 9 January 2019.
Kuna mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa wilaya yanayofabyika Dodoma leo ambapo mgeni rasmi ni Mh. Makamu wa Rais Philip Mpango.
Mafunzo hayo yatatolewa kwa siku sita ambapo yanajumuisha wakuu wa wilaya wapya na wale wa zamani.
Akitoa salam za ofisi yake Mhagama amewaagiza wakuu wa wilaya...
Unjani Subawona
Kiukweli wakuu ni mashaka na yawezekana hofu juu ya succession plan ya chadema baada ya mheshimiwa mbowe kutoka kwenye hiyo nafasi yake najiuliza who is next after him?
Kiukweli tuseme ukweli CCM Ina uwingi wa manpower kuizidi chadema Tena yawezekana ni Mara Mia au elfu moja...
Siamini na nitakuwa wa mwisho kuamini kioja hiki kwamba DC amemnasa kofi mwanafunzi mpk akajeruhiwa.
Yaani kofi limejeruhi kiasi kwamba nusu ya uso wa mwanafunzi umebandikwa pamba? Tangu lini kofi likajeruhi kama panga??
Nimeangalia mara 5 clip ya "anayedaiwa kuwa mwanafunzi aliyejeruhiwa"...
Mkurugenzi wa FBI, Chris Wray amesema mtandao wa kijamii wa China TikTok umeanza kuwatia "wasiwasi wa kuhusu usalama wa taifa la Marekani.
Akizungumza katika hafla katika Chuo Kikuu cha Michigan, Wray alionesha wasiwasi kwamba Serikali ya China inaweza kutumia data zilizokusanywa kupitia TikTok...
IKUNGI-SINGIDA
Na Gregory Jumbe Mahanju,
Wakati Mama yetu anaendelea kujipambunua kutafuta pesa kwa wahisani ili kutekeleza ilani ya CCM, huko Wilaya ya Ikungi mkoani Singida katika kata za Ntuntu na Irisya tangu pesa zitolewe miradi ya ujenzi wa vituo vya afya katika kata hizo haijakamilika...
Hakika msaada wako utaokoa maisha ya mama au mama na mtoto, iko hivi:
Huyu dada naweza sema ni ndugu au rafiki, alikua na uhusiano na kaka mmoja ila sio serious, baadae akapata jamaa mwengine aliekua serious ila uhusiano wa mwanzo ni kama ulikuepo chinichini.
Dada akapata mimba akamueleza jamaa...
Nashindwa kuelewa kabisa Yani kwamba kuna mgao wa umeme au laaa. Tangu asubuhi huku Msasani hakuna umeme na hakuna taarifa zozote, hiyo haitoshi Jana maji hakuna leo yapo, umeme hakuna. Sasa haya Maji Sijui yanapandaje Kwenye tenki .
Sometimes unashikwa na hasira hakuna shughuli yoyote Maana...
Habari za wakati huu wakuu, natumai nyote wazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye mada.
Ni hivi kuna binti mmoja hivi nilifahamiana naye kwenye harakati za kutafuta mkate wa kila siku, yeye ni mtu wa dini sana yani kwenda kanisani kwake Jumatano, Ijumaa na Jumapili zote hakosi na kiumri...
Nawasalimu woote Kwa jina la JMT
Moja Kwa Moja KWENYE mada
Mauzo ya bidhaa zetu nje ya nchi yameongezeka sana.
Kilio Cha tozo serikali imekisikia na Sasa tuna Ari ya kuchangia maendeleo yetu maana hayupo wa kufanya Kwa ajili yetu. Demokrasia Na utawala Bora nchini Sasa sawa kabisa na...
Kwa wale tuliopitia na tunapitia urafiki undugu wa mashaka au wasisi njooni tupeane uzofu
Mimi ni mmoja ktk watu ninae pitia majanga yote mabaya kwa watu wangu wa karibu mfano kuna kipindi nilipata mchongo wa kwenda simamia mgodi wa dhahabu nikiwa kazini kuna jamaa zangu wawili wakataka waje...
Nina mashaka makubwa sana na uwezo wa watendaji RITA hususani kitengo cha usajili wa vizazi na vifo!
Ukichunguza kwa makini vyeti 8 kati ya 10 vilivyotolewa na RITA lazima utakuta dosari au changamoto!
Miongoni mwa dosari hizo ni kama zifuatazo!
1. Mteja anaweza kuwa anaitwa ABDALLA lakini...
Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaida
''Wale wenye akili za kawaida ni rahisi kulaumu, wanasema ‘Rais anasafiri tu, hakai, hatembelei mikoa’, nikienda mkoani tajenga siasa ya ndani hakuna...
Assalam mwana MMU, pole na majukumu ya kimaisha.
Niende moja kwa moja kwenye mada, mwaka 2015 baada ya kuhitimu elimu nilanza harakati zangu kitaa, nilitoka mkoa niliokulia na kuja kanda ya ziwa Mwanza.
Maisha ya kuwa mwenyewe, sijaoa, nikajikuta nakula kwa mama mmoja alikua na sehemu ya...
Katika ajira zilizotangazwa juzi na TPA waliita watu wengi hadi ambao hawajasoma course maalu ya mambo ya Bandari ambayo inatolewa na chuo chao cha Bandari, na kwa bahati mbaya wakaita kwenye interview watu ambao hawakusoma mambo ya Bandari kwenda kwenye interview, na kwa bahati mbaya zaidi...
Hiki hapa ni kipande kifupi cha video kutoka kwenye filamu ya Royal tour ambapo Samia anaulizwa kama Magufuli aliambukizwa Corona na yeye kujibu ndiyo.
Anakiri hilo kwenye sekunde ya 18.
NANUKUU:
Peter: In all honest your predecessor (Magufuli) was not a big friend of Vaccines and of the...
Kufanya siasa hapa nchini hakujawahi kupungikiwa vitimbwi.
Haki, usawa na ustaarabu vimemilikishwa chama tawala. Mamlaka ikajikita kuhakikisha wengine hawafurukuti.
Yote haya yakifanikishwa kutokana na mapungufu makubwa ya makusudi kwenye katiba ya nchi isiyokidhi zama tulimo.
Pana sheria...
Nna mdogo wngu wa kiume ana miaka 19. Handsome ana akili. Watoto wa kike hawaishi kujigonga wanamfata hadi nyumbani kisingizio wanakuja kusoma. Watoto wazurii wanamfata lakin hakuna ata goli kutoka kwa mdogo wngu :(
Kuna kipndi nilikua nikimkuta na msichana nawaambia wote kwa pamoja "mnapendeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.