Sote tunakubali kwamba haikuwa vizuri nyie kukaa muda wote huo huku hamjui hatma ya kesi yenu.
Sote tunajua kwamba mliishi kwa shida huko jela kama ambavyo waliishi wengine wasiokuwa nyinyi(shida zinazidian)
Lakini naomba sana nyie mashekhe mshapata bahati mumetoka mnatakiwa mutulie kama...
Bismillahir Rahmaanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
SHEIKH MSELEM SHEIKH FARID WAKO NYUMBANI ZANZIBAR
Masheikh zetu wawili wako majumbani kwao na familia. Tutaendelea kukupeni taarifa awamu kwa awamu.
Lengo ni kutoa taarifa za kweli na zilizozingatia mambo yote muhimu.
Aidha viongozi wa...
Kuna habari zinasambaa kuwa viongozi wawili wameachiwa na wapo huru.
Habari zaidi zinasema mmoja wa viongozi hao ameoneka kwenye picha akiwa na Familia, mwenye taarifa zaidi plz.
TAARIFA KAMILI YA KESI HII:
- Breaking News: - Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, wawili waachiwa huru huku wengine...
Dalili hizi zimeanza kuonekana baada ya Shehe Mkuu wa BAKWATA Mufti Zuberi kuzitaka mamlaka kuharakishwa kusikilizwa kwa shauri lao. Ni dhahiri shahiri serikali haiwezi kupuuza ombi lake na hivyo DPP ama atashauriwa kulifuta shauri hilo au ataanzisha mchakato wa kusikilizwa shauri hilo haraka...
Bismillahir Rahmaanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
KESI YA MASHEIKH LEO TAREHE 26.05.2021, IMEAKHIRISHWA BAADA YA UPANDE WA JAMUHURI KUOMBA UDHURU TENA
Shauri la Masheikh lililopangwa kuendelea kusikilizwa leo limeakhirishwa baada ya upande wa Jamhuri kuomba kupewa muda kwa sababu ya...
Bismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
MASHEIKH WAPATA USHINDI MKUBWA MAHAKAMA YA RUFAA LEO
Hukumu ya rufaa ya Jamhuri dhidi ya Masheikh imesomwa leo katika Mahakama ya Rufaa Tanzania.
Majaji watatu wa Mahakama hiyo wametupilia mbali rufaa ya upande wa Jamhuri ya kutaka...
Bismillahir Rahmaanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
LEO TAREHE 28.04.2021, SERIKALI IMEKATA RUFAA MAHAKAMA YA RUFAANI DHIDI YA MASHEIKH
Tarehe 23.04.2021, Mahakama Kuu ilitoa hukumu ya ushindi kwa Masheikh wa kesi 14, Kati ya 25, zilizokuwa zinawakabili Masheikh.
Baada ya uamuzi huo...
Mimi siongezi neno hapa
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amelishauri Bunge kuwa Sheria kandamizi zilizotungwa mwaka 2019 ikiwemo Sheria ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha zifanyiwe Marekebisho kwani kuna Maelfu ya watu Wamebambikiwa kesi hizo mpaka sasa Wanasota Mahabusu bila kujua hatma...
Tunakwenda mwaka wa saba au nane, Masheikh wasio na hatia wako Jela.
Waliwekwa ndani na Kikwete, Wakakandamizwa ndani na Magufuli, na Sasa Samia anakaribia Mwezi mmoja madarakani bado serikali yake imewaweka Jela.
Siyo masheikh wa Uamsho tu, kuna mamia kwa mamia ya Masheikh nchi nzima wasio na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.