mashemeji

  1. RIGHT MARKER

    Siku hizi mashemeji hawaaminiki tena

    ✍️Mhadhara (79). Kama ulikuwa hujui nakuibia hii siri, sikuhizi mashemeji wanatafunana sana. Wanaitana "shemeji" mbele yako, lakini hilo sio jina lao pindi wakikutana wawili. Utafiti wa uongo uliofanywa hivi karibuni na Mr. Right Marker umegundua sababu mbalimbali za mashemeji wengi mjini...
  2. jannelle

    Tuliowahi tongozwa au mliowahi watongoza mashemeji zenu mpo?

    🤣🤣 kwanza nicheke kiasi. Umewahi pewa tongozo la haja na shemeji wewe? Basi kipindi hicho nipo Mwanza kwa dada yangu, mmewe mpole mwenyewe huwezi dhani kama ana mambo ya hovyo, nikiwa nasoma zangu huko SAUT, hivyo ukaribu na shemeji haukuwa kihiiivyo, ila siku zilivyozidi akawa ananijulia hali...
Back
Top Bottom