Awali ya yote, mtakaokwazika mtanisamehe tu. Kwa sababu kichwa kikuu cha mada hii imebebwa na maneno magumu na makali kidogo.
Imebidi iwe hivi kwa sababu nimetafuta maneno mbadala ili ujumbe ama maudhui ya ujumbe ninaotaka kila mtu apate, nikakosa.
Pokeeni na twendeni hivyo hivyo kwa sababu ni...
Habari wakuu wa kazi, iko hivi nimeanza mahusiano tangu nipo kidato cha tatu hadi hivi sasa nimemaliza chuo nipo kazini lakini wasichana wangu wote niliokuwa nao kwenye mahusiano wamekuwa ni watu wa kupandisha mashetani sijui hii imekaaje kila demu ninaye date nae lazima atakuwa na hii shida...
Wanabodi,
Mtu unachokiandika, ndicho unacho kiwaza!, kuna watu, tunaishi nao, tunakula nao, tunalala nao, tukidhani ni binaadamu wenzetu, kumbe ni machoni tuu ndio kama watu, lakini mioyoni ni mashetani wakubwa!. Mtu unaombeaje binaadamu mwenzako afe kwa Corona?!. Can't believe this wickedness...
Wanabodi
Japo kwa kawaida usiku ni wakati wa kulala na kupumzika, ila kwa watu ma jobless wakiwemo kada yangu ya watu wa "mishe mishe", moja ya usiku ngumu sana, huwa ni usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu ambayo umeipitisha weekend kwa mazabe mazabe, halafu blue Monday inakuja!, usingizi huwa...
Wakuu,
Kuna jambo linatitatiza juu ya mambo ya imani.Huwa nawaona humu jukwaani watu kama akina Kiranga huwa wanakataa uwepo wa Mungu...lakini pia kwa upande mwingine sisi wengine tuna imani kuwa kuna ulimwengu wa giza ,je na nyie huwa mnaamini kuna ulimwengu wa giza?
KAMA SIYO,je haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.