The music of Kenya is very diverse, with multiple types of folk music based on the variety over 40 regional languages.Zanzibaran taarab music has also become popular, as has hip hop, reggae music, soul, soukous, zouk, rock and roll, funk and Europop. Additionally, there is a growing western classical music scene and Kenya is home to a number of music colleges and schools.
Klabu ya Simba ya jijini Dar imeamua kutafuta wachezaji watakaoisaidia timu hiyo katika kusaka mataji katika msimu wa 2024/25.
Simba imeweka watu maalum ili kutafuta wachezaji wanaofanya vizuri katika mashindano ya Afcon yanayoendelea nchini Cote D'Ivoire.
====
Simba ina mikakati mizito ya...
Na tayari nimeshaanza Kuusikia huu Wimbo ukianza Kuimbwa na Watangazaji kadhaa wa Redio Asubuhi hii na najua kwa sasa baada ya Bahasha za Pesa za Makusanyo za Saidia Taifa Stars kupenyezwa kwa Wahariri, Watangazaji na Wachambuzi na ili Kujikomba kwa Mheshimiwa Rais huu Wimbo utaimbwa kila mara...
Ni michuano ya 34 ya Mataifa huru ya Afrika ambayo itafanyika Ivory Coast kuanzia January 13 mpaka February 11 ya 2024.
Itashirikisha timu 24 ikiwemo sisi Tanzania. Michuano hiyo itafanyika katika majiji matano huku viwanja sita vitatumika katika michuano hiyo.
Hii ni mara ya pili kwa Ivory...
afcon
africa
bado
bingwa
congo
congo dr
dodoma
haya
mashindano
moyo
mpira
senegal
special
special thread
taifa
taifa stars
thread
timu
watanzania
zambia
Tuwaombeetu lakini mwenyeji sijui anapigaje
========
WENYEJI WA AFCON, IVORY COAST WAMEKUBALI KUPIGWA NA WAMEPIGIKA
Wenyeji wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Africa 2023 (AFCON), Timu ya #IvoryCoast imeishia Hatua ya Makundi baada ya kukubali kichapo cha magoli 4-0 kutoka kwa Equatorial...
Huyu referee anayechezesha pambano la Congo DR na Morocco ni muungwana sana. Wachezaju wa Morocco wakiwa wanatoka anawasindikiza anawaambia wasikimbie wasije wakaanguka wakaumia.
Naona mzozo mchezaji mmoja wa Congo kaamua kumchana referee kuwa inaonekana ana..... Na Morocco wamekasirika sana...
Nashauri kiwanja hiki kitwaliwe na serikali, CCM wafidiwe, halafu kijengwe kiwanja cha kisasa pale.
Hii itaendana na hadhi ya jiji la Mwanza.
Kwa.sasa kiwanja hiki hata CCM hakiwapi faida yoyote ile.
Pamoja na kupania na kukamia mno katika michuano ambayo timu zingine makini iliyachukulia kama sehemu ya kupima baadhi ya sajili zake huku zikipeleka vikosi B na kujàribu baadhi ya wachezaji wa u20 kwa ajili ya kutunza nguvu ya vikosi vya kwanza kwa mashindano makubwa na kuepuka majeraha kwa...
Yalikuwa mashindano yenye heshima hivi sasa yamekua mashindano ya kihuni yakiongozwa na marefariii wahuni hatujapata kuona nchi hii.
Upuuzi ulianza mechi ya mlandege kila mtu alishangaa ni kwamba refariiii aliingia na matokeo, fanya ufanyaloo Mlandege ishinde
Tuje mechi ya Simba hii ndio...
Wakati kuna katimu kanajifanya kana "besi" la kusema mashindano ya kombe la mapinduzi hayana maana na kwamba yana gundu, Simba haikusikia kelele za vyura hao na badala yake imeyapa mashindano ya Kombe la Mapinduzi heshima inayostahili. Ukiacha kombe itakalobeba leo na zawadi za pesa, nadhani...
Kamati ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi ilikuwa na nafasi kubwa ya kufanya haya mashindano yawe na heshima na hadhi ya juu kimataifa, lakini figisu na kukesa weledi kunafanya mashindano yaonekane kituko hasa kwa timu wageni tunaowaalika.
Ushauri wangu kwa kamati ya mashindano haya, isiundwe...
Japo sijui kama hii ndio ilikuwa dhamira ya viongozi wa Yanga na kocha wa timu hiyo, ila ukweli ni kuwa kwa kocha makini na viongozi makini wa timu za ligu kuu, mashindano haya ni fursa ya kuona vipaji na uwezo wa wachezaji chipukizi pamoja na wale wa kikosi cha pili. Kutumia proffesinal players...
Nimeona kuna mashindano ya MissJF 2023, ilikuwa wazo zuri ila lina ubatili mtupu. Naona kama mbinu nyingine ya udhalilishaji mkubwa wa wanawake unaofanyika jukwaani kila iitwapo leo. Sababu za kuiita mashindano haya kuwa ni "ubatili" mtupu ni kama ifuatavyo.
Mashindano haya hayana vigezo...
Habarini ndugu wana JF
Kwa mlioko huko dodoma hawa wake zetu wa ndoa watarudi salama kweli?
Maana shemeji yenu najitahidi kumtafuta kupitia video call naona hataki kupokea simu anadai ya kwamba umeme umekatika kuna giza hivyo hawezi kupokea simu.
Kwa mliopo huko, ni kweli changamoto ya umeme...
Mashabiki wa Putini na China, vipi kuhusu Ruble na Yuan zimefikia wapi sokoni?
Vipi, Dollar imeanguka?
Mzungu atabaki mzungu tu!
Nimekuwa nikijiuliza, siku Marekani aache kabisa kutoa misaada yoyote duniani awe kama nchi zingine, kila kitu afanye kwake tu!
Sjui china na Urusi watafanya...
Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga!
Walau Yanga unaweza kuiweka...
Kauli yangu ni moja tu na tena ni Takatifu kabisa kuwa HATUMO na TUMESHATOLEWA rasmi Mashindanoni hivyo hizo Kauli zenu za Kinafiki na Kipuuzi za Timu zetu KUFA KIUME msiwe mnazisema mbele yangu nisije Kumzabua Mtu Makofi bure sawa?
Wakuu, leo nilijipa muda wa kupitia baadhi ya makala na machapisho juu ya hili shindano jipya kabisa Africa (AFL), bahati mbaya sikufanikiwa kukutana na sababu za kwanini Simba na Tanzania kwa ujumla ilichaguliwa kuwa mwenyeji wa ufunguzi wa AFL.
Je FIFA + CAF walitumia vigezo gani kuipa simba...
Haya mashindano aina ya African Football League ni rahisi kuona kwa nini huwa yanakwama sehemu nyingine na uwezekano wa kukwama hapa Africa tayari unaonekana.
Kutokana na mzozo wa kisiasa unaoendelea huko Mashariki ya Kati, mechi ya ufunguzi iligubikwa na viashiria vya kusapoti Palestina...
Ningependa kujua vigezo vilivyotumiwa na Caf kuanzisha haya mashindano kwa sababu kama wamechukua timu bora kila ukanda Kwa hivi sasa Rivers ni bora kuliko Enyimba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.