mashindano

The music of Kenya is very diverse, with multiple types of folk music based on the variety over 40 regional languages.Zanzibaran taarab music has also become popular, as has hip hop, reggae music, soul, soukous, zouk, rock and roll, funk and Europop. Additionally, there is a growing western classical music scene and Kenya is home to a number of music colleges and schools.

View More On Wikipedia.org
  1. Remmy Ongala aliwahi kukata rufaa akipinga kushindwa na Masoud sura mbaya katika shindano la wenye sura mbaya

    Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuliwahi kuandaliwa shindano la wenye sura mbaya Tanzania kwa upande wa wanaume. Wanawake walikataa hivyo likaandaliwa la wanaume tu. Washiriki walikuwa wengi lakini waliofanikiwa kufika top 3 walikuwa ni Mzee Jangala, Remmy Ongala na Masoud Sura Mbaya. Baada ya...
  2. Hivi nani anaegharamia pesa haya mashindano ya SHIMIWI

    Ni mashindano yameanzishwa muda mrefu leo hii nazani ni kwa mara ya kwanza yamefanyika mkoa wa iringa Nimeona watu ni wengi ambao ni wafanyakazi zaidi ya watu 3000 wamesafirishwa kutoka nchi nzima watakaa hapa kwa siku 14 Naomba kuuliza hizi gharama zakuwatunza hawa watu zinatoka wapi kula na...
  3. K

    Tumeandaa AFCON sawa, nchi ipi kati ya Kenya, Uganda na Tanzania itatoa timu mwenyeji wa mashindano?

    Kenya Uganda na Tanzania zimepewa nafasi ya kuandaa kwa pamoja fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2027 baada ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) kutangaza kuwa ombi lao pa pamoja limeshinda dhidi ya maombi ya Algeria, Misri na Botswana ambazo nazo ziliomba. Kwa kawaida utaratibu...
  4. Yakitokea mashindano kati ya wachawi konki na walokole konki, ni wepi watashinda?

    Shindano liwe la wazi na lifanyike kwenye uwanja wa wazi, kina Mwamposa, Kuhani Musa, na walokole wengine konki, wakashindane na wachawi konki kama Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume na wengine. Wachawi wamvimbishe tumbo FaizaFoxy au wamkate kichwa Lucas mwashambwa , au wampige busha THE BIG...
  5. S

    Mashindano ya CAFCL: Yanga akizifunga timu vigogo barani Afrika, Simba watakuja na kauli gani?

    Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo Yanga atatinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika na kukutana na baadhi ya vigogo na kuwafanga hapa nyumbani au ugenini kwani kwa Yanga hili linawezekana kabisa. Hii ni kwasbabu, baada ya Yanga kutinga makundi kombe la Shirikisho na kufikia...
  6. Mashindano ya drafti kitaifa, Chunya Mbeya

    Mashindano ya siku Tatu ya drafti kitaifa yameanza leo huko Chunya, Mbeya. Leo yamechezwa makundi na 16 bora. Walioingia 16 bora ni hawa. RATIBA RASMI YA MASHINDANO YA DRAFTI KITAIFA IMESHATOKA. YATAANZA RASMI TAREHE 30 AGOSTI 2023 HADI 01 SEPTEMBA 2023. MASHINDANO YA KUMTAFUTA BINGWA WA...
  7. Maisha ni mfano wa mashindano ukilielewa hili Jambo Basi utakuwa Mtu Bora Sana

    Maisha siku zote ni mfano wa Mashindano na sio kila anayeshiriki anahitaji Ubingwa au taji Kuna timu zinashiriki ili tu zisishuke Daraja. na hizi timu ndo nyingi Sana (WATU). Hivyo Kama mtu una kusuduio lako unalohitaji kulitimiza hapa Duniani na kushinda taji hili Muhimu linaloitwa MAISHA basi...
  8. Kutolewa kwa Azam kwenye Mashindano ya Caf ni ujumbe tosha

    Azam complex ni uwanja wa Azam, kama uchawi unacheza mpira Azam walikuwa na muda wa kufanya kafara zote kama Popoma mkuu anavyoamini uchawi unacheza mpira. Wakati Yanga wametulia kimya Avic town kuna wazururaji wa Msimbazi na Chamanzi walini kwenda kuzurura nje ya Tanzania ndio kuandaa timu...
  9. M

    Kuna sababu gani hizi Timu za Zanzibar kucheza mashindano ya CAF?

    Haya mambo ya kubebana eti kuimarisha Muungano ifike pahala isiwe kwenye kila kitu. Hata mwk jana timu ya Zanzibar ilifungwa goli 7 hadi AIBU. Jana tena timu zote mbili za znz zimefungwa. Hawa jamaa wakitaka timu zao ziimarike WAKUBALI KUWA SEHEMU YA LIGI KUU TANZANIA NA WAACHE UBINAFSI...
  10. Makocha wa Yanga wameanza vibaya mashindano, ni kwanini?

    Gamondi ameikosa ngao Kaze kafungwa na JKT Tanzania Mwinyi Zahera amefungwa na Coastal Union Haya ni matata matatani. Ni uwezo wao mdogo, timu mbovu au ni mwanzo tu>
  11. Kama lengo ni Yanga na Simba zikutane Fainali kulikuwa na haja gani ya haya Mashindano?

    Kwa sababu kwa asili ilikuwa MSHINDI WA KWANZA WA LIGI NA WA PILI WATACHEZA NGAO YA HISANI...ilikuwa SIMBA NA YANGA zicheze NGAO YA JAMII. Sasa kulikuwa na haja gani ya mashindano...na huku mmeshapanga fulani ashinde... Hili suala la kuweka gender balance kwenye baadhi ya mambo ambayo...
  12. Hii hapa summary ya mashindano ya CAF msimu huu 22/23

    Imetajwa YANGA na MAYELE. USHAURI: Next time wangeweka na timu zilizoishia robo
  13. S

    Yaya Toure akosoa uwepo wa Fainali 2 kwenye Michuano ya Afrika

    Ujumbe wa nyota wa zamani wa Barcelona na Man City, Yaya TOURE juu ya uwepo wa fainali mbili kwenye michuano ya Afrika. Wakati umefika kwa mashabiki wa soka wa nchi zetu barani Afrika kudai HAKI YA MICHEZO kwa kuitaka CAF kuwa na mechi moja pekee ya fainali kwenye uwanja wa usiofungamana na...
  14. Kumekucha: Sweden yaanzisha mchezo wa ngono, kama soka tu. Kuwa mwenyeji mashindano ya mabingwa Ulaya

    Sweden imepitisha ngono kama sehemu ya Michezo na itaandaa na kuwa mwenyeji wa Mashindano ya kusimamia kucha Huku Ulaya.. My Take Uhuru wa Mwanadamu ukizidi unakuwa kufuru na upumbavu.. ======= Inadaiwa kuwa michezo hiyo inatarajiwa kuanza hivi karibuni ikiwa na kanuni na taratibu pamoja na...
  15. Simba ndio timu pekee ya Tanzania iliyowahi kufanya "come back" ya kibabe katika mashindano ya CAF

    Mwaka 1979, Simba Sc ya Tanzania ilipangwa kucheza na klabu ya Mufulira Wanderers ya Zambia katika michuano ya CAF. Mechi ya kwanza katika dimba la taifa ( sasa uhuru ) Simba likufa 4-0 Mashabiki walisononeka sana wakaisusa timu yao. Kikosi kikaendelea na maandalizi ya mchezo wa marudiano...
  16. Fainali mashindano ya CAF iwe mechi 3 na siyo 1 au 2

    Mimi huwa napenda kuja na hoja fikirishi kwa hiyo wale wasiopenda kufikiri wananionaga hamnazo. Muda huwa unadhihirisha kile ninachosemaga. Kumekuwa na malalamiko ya kutaka CAF ibadili fainali za mechi za Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho kutoka mechi mbili na kubakiwa na moja. Binafsi...
  17. Fedha wanazolipwa timu kila watakapufuzu kwenda hatua nyingine Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika

    Kila timu italipwa kulingana na kiwango ilichofikia. Hakuna hela inayotolewa kwa kuvuka kila hatua, hawawezi kulipa kila hatua kwasababu fungu la bajeti halina uwezo huo. Ukiingia mashindano ya CAF ukatolewa hatua ya awali ukashindwa kuingia kwenye makundi utakuwa umetoka patupu hata mia...
  18. Hivi pesa ambazo timu zinapata kwenye mashindano ya kimataifa zinakatwa kodi?

    Mfano Yanga kuingia tu Fainali ina uhakika wa dola lake nane. Ikichukua ubingwa itakunja dola milioni mbili. Simba kuingia robo Fainali ya Champions League walikunja dola mia kadhaa. Pesa hizi zinakatwa kodi?
  19. Mbeya: Kata ya Serengeti mabingwa wa Mashindano ya Kyela Polisi Jamii Cup 2023

    Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Josephine Manase Keenja, Mei 01, 2023 amefunga rasmi mashindano ya mpira wa miguu yajulikanayo kwa jina la "KYELA POLISI JAMII CUP, 2023" baada ya kushuhudia fainali iliyozikutanisha timu za Kata ya Ipinda dhidi ya Kata ya Serengeti. Mashindano hayo yalihusisha Kata 33...
  20. J

    Watu wa CAF wanaumia Simba ilivyotolewa kwenye mashindano kwa sababu hii

    Kama unafuatilia mtandaoni account za CAF champions league, tangia Simba imeanza kufanya vizuri mashindano ya kimataifa, ni kama CAF au wanaoendesha account za CAF wana ushabiki fulani kwa Simba na kama wanaumia hivi inapotolewa Siongei kishabiki, Hata Yanga nafikiri itakuwa hivyo hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…