mashine

Rage Against the Machine (also referred to as RATM or simply Rage) is an American rock band from Los Angeles, California. Formed in 1991, the group consists of vocalist Zack de la Rocha, bassist and backing vocalist Tim Commerford, guitarist Tom Morello, and drummer Brad Wilk. Their songs express revolutionary political views. As of 2010, they had sold over 16 million records worldwide. The band was nominated for induction into the Rock & Roll Hall of Fame in their first year of eligibility in 2017 and 2018, although both bids failed.Rage Against the Machine released its eponymous debut album in 1992 to commercial and critical success, leading to a slot in the 1993 Lollapalooza festival; in 2003, the album was ranked number 368 on Rolling Stone's list of the 500 greatest albums of all time. The band's second album, Evil Empire, was released in 1996, followed three years later by The Battle of Los Angeles (1999). During their initial nine-year run, Rage Against the Machine became one of the most popular and influential bands in music history, and had a large influence on the nu metal genre which came to prominence during the second half of the 1990s. They were also ranked No. 33 on VH1's 100 Greatest Artists of Hard Rock.
In 2000, Rage Against the Machine released the cover album Renegades and disbanded after growing creative differences led to de la Rocha's departure. De la Rocha started a low-key solo career, while the rest of the band formed the rock supergroup Audioslave with Chris Cornell, the former frontman of Soundgarden; Audioslave recorded three albums before disbanding in 2007. The same year, Rage Against the Machine announced a reunion and performed together for the first time in seven years at the Coachella Valley Music and Arts Festival in April 2007. Within the next four years, minus a sabbatical in 2009, the band continued to perform at more live venues and festivals around the world before going on hiatus once again. In 2016, Morello, Commerford and Wilk formed a new band, Prophets of Rage, with B-Real, Chuck D, and DJ Lord; that band managed to release one EP and one full-length studio album before calling it quits in 2019.After an eight-year hiatus, Rage Against the Machine announced in November 2019 that they were reuniting for a tour in 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Lord denning

    Sasa ni dhahiri, CCM wanapumulia mashine

    Amani iwe nanyi wadau! Kabla ya kwenda kwenye mada napenda kuwapongeza sana Jamii Forums. Pamoja na vikwazo na changamoto zote napenda kusema ni chombo pekee Tanzania ambacho kwenye uchaguzi huu kimejaribu kweli kusimama kwenye Haki na Kweli. Mijadala yote ya CCM na CHADEMA inajadiliwa kwa...
  2. Mikhail Tal

    Nahitaji mashine ya kukamua juice ya miwa

    Habari wakuu nahitaji msaada wa kupata mashine ya kukamua juice ya miwa. Nipo Dar es salaam kama kuna mtu unaweza kunielekeza zilipo kwa hapa Dar ntakushukuru sana Au kama unaweza kunisaidia contacts za mahali nitapata hizo mashine.
  3. codex4x

    Mashine Ya Kusaga na Kukoboa Inakodishwa

    Mashine Ipo Ruguruni (Vituo Viwili kutoka Mbezi Mwisho) Tunakodisha kwa laki 5 (Maongezi Yapo) kwa mwezi kwa mashine zote mbili na godown lake.
  4. codex4x

    Mashine ya kukoboa na kusaga inakodishwa

    Mashine Ipo Ruguruni (Vituo Viwili kutoka Mbezi Mwisho) Tunakodisha kwa laki 5 kwa mwez kwa mashine zote mbili na godown lake.
  5. codex4x

    Mashine Ya Kukoboa Na Kusaga Inakodishwa

    Mashine Ipo Ruguruni , Vituo Viwili kutoka Mbezi Mwisho Gharama za Kukodi ni laki 5 kwa mwez mashine na godown lake...Maongezi yapo (Baada ya kukagua na kulizika)
  6. Eliya Dawa

    Mashine za kutotoleshea vifaranga vya kuku, bata kwa aina zake, kanga na kwale

    Habarin wakuu, Nina Uza mashine za incubator kwa atakae kuwa muhitaji. Mashine zinatoka china pia ukitaka toleo la mwingereza pia utapata. Kwa size yoyote unayoitaka.pia kwa anaetaka vifaranga vya kuku pia tunaweza kukudelivery popote ulipo. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa no zangu ni...
  7. B

    INAUZWA Mashine ya kuchomelea (welding machine) inauzwa

    Inauzwa mashine ya kuchomea aina ya CEM SV-260. imetumika lakini bado iko kwenye hali nzuri sana Bei ni mil 1.5 Iko Dar njoo 0763969066 ziko storage nafasi ni finyu sikupata uwezo wa kupiga picha vizuri.
  8. B

    INAUZWA Mashine ya kusaga na kukoboa nafaka

    nauza mashine ya kusaga na kukoboa nafaka aina ya deer kutoka India. unauziwa mashine ikiwa na mota zake pamoja na control boxes na switches na waya za kutoka kwenye mota kwenda kwenye control boxes na switches mota zake ni made in german na moja ni ya hp 50 na nyingine ni hp 30 na zote ni nzima...
  9. M

    Nauza mashine ya kuranda na kuchana mbao ipo Magomeni Mwembechai lida brand kutoka China, inch 12

    Hallow wana jamvi nimewaletea mashine nyingine ya kuranda na kuchana mbao yenye uwezo mkubwa baada ya ile nyingine kununuliwa bei ni sh. 2,800,000 karibu tuwasiliane bei ni rahisi sana tofauti na ukiagiza nje, pia haina shida yoyote kama unavyoiona kwenye picha ipo kazini. inauzwa kwa kuwa haina...
  10. M

    Ni mashine inatengeneza peasa au ni pesa inatengeneza mashine?

    Tumuombe mungu atujalie uzima maana katika kipindi hiki tutaona mengi ya kuthibitisha kwamba mwafrika ni Tabaka la mwisho kabisa kifikla,katika kipindi hiki cha kampeni kuna mgombea amejizolea kundi dogo la wanaomsapoti kwa hapa Tanzania tunawaita "MAKANJANJA" kutokana na tabia walizokuwa...
  11. M

    Mashine zinazotumika kufanya 'vipimo vya mwili mzima' katika tiba mbadala zinaitwaje?

    Watu ni wengi na wote wanataka kwenda kupima afaya zao kwa mtaalamu wa tiba mbadala na wanaeleza ya kuwa mtaalamu huyu ana kifaa cha kupima mwili mzima na kujua shida zako zote. Wadau, naomba mwenye kujua jina la kifaa hicho na gharama yake
  12. S

    Hapa ndipo CCM ya leo inayopumulia mashine ilipofika

    Naweza sema CCM ya leo inaangamia kutokana na watu wake ama kukosa maarifa,au kutokana na wao kukataa tamaa na sasa wanaamua waende tu hivyo hivyo ili mradi tu bado wana dola mkononi. Kwa maneno mengine,kipimo cha namna gani mambo yao yanaenda vizuru sio tena ni namna gani wanakubalika kwa...
  13. MamaSamia2025

    Mashine za PRINTING zinauzwa

    .
  14. benja

    Nahitaji Mashine ya ku-press bush

    Habari wakuu. Miezi michache iliyopita nilianzisha biashara ya vilainishi vya magari. Biashara inakuwa vizuri lakini ninaona kuna haja ya kuongeza huduma nyingine. Ninahitaji mashine ya ku-press bush je naweza ipata wapi??? Na je naweza pata angalau bei ya soko ya mashine hiyo. Wateja wangu...
  15. S

    CCM tayarisheni mashine za kupumulia, mmelisikia tetemeko huko visiwani ?

    Wazee wenye elimu wametujuvya ya kuwa mara hii CCM inaanguka na sehemu ambayo itapigwa na chini ni Zanzibar ni baada ya kutokea tetemeko la ardhi baharini hivi majuzi, wazee hao walienda mbali zaidi na kusema hii sio dalili nzuri kwa CCM na kwa ishara hizi halina dawa wakubali tu bora nusu shari...
  16. F

    INAUZWA Mashine ya kuprint tshirt inauzwa ( heat press machine heavy duty), msimu wa kampeni muhimu sana

    Habari wadau Nauza mashine ya kuprint tshirt heat press machine heavy duty Inatumika kuprint picha na maneno kwenye tshirt Inafaa sana kuchapa tshirt za kampeni za wagombea.. na tshirt za kumbu kumbu ya msiba Bei ya mashine ni shilingi milioni moja ( 1,000,000 ) Mashine ni heavy duty na...
  17. Webabu

    Kwanini mashine za EFD zijae? Si ni unyonyaji mwingine

    Hizi mashine eti zinajaa na ikitokea hivyo unanunua kwa bei ile ile ya karibu ya milioni. Ajabu ni kuwa mashine hizi zinazotumiwa na TRA kukusanyia kodi haziendi hata miaka 3 kujaa kwake na hasa ukiwa ni mlipa kodi mzuri unayetoa risiti kwa kila mauzo. Inakuwaje mashine hizi zikijaa zisifutwe...
  18. B

    INAUZWA (WOODMIZER)mashine ya kisasa ya kuchana magogo

    Sifa zake. Ni mashine imara. Huchana magogo mengi kwa mda mfupi na kwa ulaji mdogo wa mafuta na umeme kwa ile ya motor engine. Inaweza kubebeka. Inapatikana Arusha,Tanzania. Bei ni shillingi million 17. Usiogope piga simu kwa namba hapo chini tutaelewana zaidi. Kwa mawasiliano na malelezo...
  19. 2019

    Mashine ya bonanza maarufu kama dubuli inaharibu Sarafu za 200, BoT ingilieni kati

    Huu ndio muonekano wa sarafu za 200 baada ya kuzamishwa kwenye dubuli au bonanza mashine za kamari za kichina. Hii mashine inaharibu sarafu sana kiasi kwamba hazisomeki wala kuonekana vizuri. Mashine ya bonanza maarufu kama dubuli, unaweka 200 unacheza. Hata serikali inachukua kodi kupitia...
  20. M

    INAUZWA Mashine ya kufumia masweta kofia nk. Inauzwa

    Haina shida yoyote inapiga kazi vizuri kabisa. Bei Tsh 500,000 (maelewano yapo) 0755868463 location: Kahama
Back
Top Bottom