Wakuu mimi niko Mamlaka ya maji nawafikiria sana TRA, TBS, eGA, TCRA na TANAPA ni ICT afisa, nataka nipambanie uhamisho kwenye hizi taasisi ni ICT afficer II-SOFTWARE DEVELOPER(WEB) hii taasisi haifanyi software development kabsa zote zinafanywa na eGA, naomba msaada wa kiufundi watalam ili...
BUNGE limeazimia serikali kuondoa ruzuku kwa mashirika yanayojiendesha kibiashara ili yaweze kujiendesha kibiashara, kukidhi bajeti zao na kutoa gawio kwa serikali.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Oran Njeza ameyasema hayo leo bungeni alipokuwa akiwasilisha taarifa ya mwaka ya shughuli...
Kufuatia agizo la Donald Trump kusitisha misaada kwa shirika la USDA, naomba kufahamu yafuatayo:-
1. Je, Kuna shirika ambalo limeshafanya handover?
2. Mali za mashirika zitapigwa mnada au utaratibu wa handover kwa nchi husika ukoje?
Mfano kwa leo nimeona kuna tangazo la ajira TRA.
Ni wao wenyewe wanasimamia zoezi, maombi yanatumwa kwao
Wasio na connection wanatoboa hapa ?
Boss yupo tayari kumpa ajira mtu asiemjua wakati Ndugu zake, Mtoto wake, ndugu wa mke wake hawana ajira ?
Tuorodheshe hapa mashirika na taasisi pamoja na miradi inayofadhilwa na serikali ya Marekani ambayo itaathirika moja kwa moja na uamuzi wa serikali ya Marekani chini ya Donald Trump wa kusitisha ufadhili iwe ni kupitia shirika la misaada la Marekani (USAID Tanzania) au vinginenyo.
Soma Pia...
Marekani inachangia kila mwaka dola milioni 500 (shilingi Trilioni 1.2) kwenye shirika la afya duniani.
mataifa mengine yana watu wengi zaidi mfano China, ina watu zaidi ya bilioni 1 inachangia Dola milioni 20 (shilingi bilioni 50) .
Marekani baada ya kuona pesa zao zinafujwa, Trump kaamua...
Kwa sisi wana marekani tulioko yombo vituka tunakupongeza sana.
Walambe wote kaka, waje wakaandamane kwenye nchi zao zinazo support uoaji wa mabinti wadogo wa miaka 9...
Nini hasa kinachowachochea watoa taarifa (informants) au mawakala (agents) kushirikiana na mashirika ya intelijensia?
Tunajua kuwa kazi ya intelijensia na upelelezi inategemea sana taarifa zinazokusanywa kutoka kwa vyanzo mbalimbali.
Ni sababu zipi zinazowafanya watu hawa kuwa tayari...
Kampuni za bima kwenye jiji la Los Angeles zimeanza kuwasilisha maombi yao haraka kwamba ya kufilisika.
Hiyo imejili kutokana na moto unaoendelea kuwaacha wakaazi wengi nje bila makazi.
Moto huo kuharibu na kuchoma ekari zaidi 2,921 za mandhari nzuri ya Pasifiki ya Palisades imepotea.
Wakuu
Kash Kash karibu na uchaguzi
==
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekemea vikali utendaji wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) "Mmeanza kulala, mmezoea kazi, mmezoea matatizo. Mwaka mzima matatizo, tunarudi nyuma. Siwezi kukubali hiyo biashara ya kufika mahali...
Ndugu wana jamiiforum ni matumaini yangu nyote mnaendelea vyema.
Nina mdogo wangu anaenda kidato cha pili sasa , lakini kutokana na chanagomoto za kiuchumi nina wasiwasi huenda si ndoto yangu tu hata yake huenda ikafa.
Amesoma shule ya msingi na kufanikiwa kuwa na ufaulu wa juu hatimaye...
Wilaya ya Mvomero ni Wilaya yenye mito mingi sana.Hata hivyo Wilaya hii bado imeendelea kuwa na changamoto kubwa ya maji.Wananchi waliio wengi bado wanatumia visima vya wazi na mabwawa ambayo si salama kwa Afya zao,kwa kuwa mara nyingi wanachangia na mifugo.Maji haya kwa hiyo si salama na ni...
Kampuni za kibiashara ni miongoni mwa vyanzo vya mapato kwa mashirika ya hisani (charity organizations) kwenye utekelezaji wa miradi na program mbalimbali. Utafutaji wa fedha kutoka kwenye kampuni hizi, kitaalamu unajulikana kama “Corporate Fundraising” . Kuna njia mbili za uchangiaji unaofanywa...
Muungano wa Ulaya umeachia orodha iliyoimarishwa ya mashirika ya ndege yanayodhaniwa kuwa hatari, na kuyakataza kufanya kazi ndani ya anga la EU. Sasisho hili la hivi karibuni linajumuisha Air Tanzania, ambayo imeongezwa kwenye orodha kufuatia wasiwasi wa usalama ulioangaziwa na Shirika la...
Ndugu zangu Watanzania,
Ifike mahali kama Taifa tusikubali kila kifo kipite hivi hivi au kuacha mambo yaende hivihivi kana kwamba hakuna kilichotokea vile au kusema ni Mapenzi ya Mungu au kuona ni kawaida.Mungu ametupatia akili kwa ajili ya kufikiri na kufanya tafakari kwa msaada wake Mungu...
Msaada:Natafuta kazi katika mashirika ya wakimbizi au NGO za masuala ya Afya
ELimu: Diploma in Nursing and Midwifery
Nina leseni Hai kutoka TNMC ( Tanzania Nursing and midwives Council) as a Registered Nurse
Jinsia: Male
Email: avicboston@gmail.com
PM ipo wazi kwa mawasiliano zaidi...
Kwa vile mimi simjuaji naomba kuuliza, hivi kuna utaratibu Mashirika yetu ya nyumba kununua maeneo mapya kwa ajili ya kuyaendeleza?
Na kama ndio hawawezi kununua Kinondoni,Magomeni Mwananyamala, Nearby Airport na maeneo mengine ambayo ni prime kwa utaratibu mzuri? Build Vertical Residence...
Wafadhili wakubwa yaani “Major Gift Donors” ni watu ambao wanatoa kiasi kikubwa cha ufadhili kwa shirika, ili kuliwezesha shirika kutekeleza programu na miradi yake kikamilifu. Tafsiri ya mfadhili mkubwa inatofautiana kutoka shirika moja na jingine, kimsingi hakuna kiwango maalum kinachoonyesha...
Mwezi wa Uhamasishaji wa Usalama wa Mtandaoni si kwa watu binafsi tu—pia ni wakati muhimu kwa biashara na mashirika kutathmini upya mikakati yao ya usalama wa mtandaoni. Mashambulizi ya kimtandao kwa biashara yanaweza kuwa na madhara makubwa, ikiwa ni pamoja na wizi wa data, athari za kisheria...