Kumekuwa na utamaduni mbaya wa bodi nyingi za mashirika ya umma kutokujua wanatakiwa kufanya nini. Bodi nyingi wanaona kuwa mjumbe ni kama biashara ya kupata pesa bure za vikao, kumwendesha mkurugenzi wapate wanachotaka, kuweka watu wao kwenye tenda za vitu mbali mbali. Tumeona hii TPDC...