mashitaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Ninawezaje kuitolea mashitaka idara ya uhamiaji kwa kusababisha kupoteza ufadhiri wangu?

    Mwaka 2022 nilipata full scholarship lakini nasikitika nilinyimwa passport uhamiaji bila sababu za msingi na kusababisha scholarship kuisha mda wake. Hali hii unanitesa sana imeniathiri.je nihatua zipi nifanye niwashitaki?
  2. F

    Tetesi: Rais Paul Kagame kufunguliwa mashitaka The Hague kwa uhalifu nchini Congo DRC

    Habari za siri zimeanza kuvuja kuwa Kagame kageukwa na wazungu. Leo mwendesha mashitaka wa mahakama ya ICC ameanza uchunguzi wa uhalifu wa kivita mashariki mwa Congo. Inadaiwa mlengwa sio mwingine bali ni Rais wa Rwanda Paul Kagame. Tusubiri tuone kama watafanikiwa kumnasa Chuma cha Pua.
  3. Je, kuna namna Kiboko ya Wachawi anaweza kuletwa tena Tanzania ili afunguliwe mashitaka ya utapeli?

    Hilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi . 1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu? 2. Je, sisi na DR Congo tunamkataba wa kubadilishana waharifu? 3. Kule Congo yupo na watanzania kadhaa aliondoka nao...
  4. Mkosoaji wa China akamatwa kwa mashitaka ya ujasusi marekani

    Huyu alikimbia toka China bara akakimbilia Taiwan baadae akaenda kusaka hifadhi marekani kama mkosoaji mkubwa wa China. Imekuja gundulika alikuwa jasusi wa China ndani ya marekani. Inavyoonekana sio kila mkosoaji wa nchi fulani hasa hizi kubwa anaye kimbia nchi yake na kukimbilia nchi nyingine...
  5. Kesi ya Binti wa Yombo: Hati ya mashitaka imekosewa makusudi kuwaokoa watuhumiwa wa ubakaji?

    Serikali inatumia pesa nyingi kusomesha watanzania ila wasomi wenyewe wanashindwa kutumia elimu yao. Mimi darasa la saba B nilisoma shule ya Msingi Miburani pamoja na Mzee Magoma kuna kitu nimebaini kuhusu mashitaka walioshitakiwa nayo watuhumiwa maafande wa. Ubakaji. Kwenye mashitaka...
  6. Chama cha wafanyakazi wa magari chawafungulia mashitaka Trump na Elon Musk

    Chama kikubwa cha umoja wa wafanyakazi wa sekta ya uzalishaji magari, ndege na mashine za mashambani wamewafungulia mashitaka Donald Trump na Elon Musk wakilalamika mazungumzo yao ya jana Twitter yalihusisha kauli za kudhalilisha, kutishia na kudhoofisha wafanyakazi wanaogoma kushinikiza...
  7. Mashitaka ya kuvuruga amani ya marehemu

    MAMA mmoja mwenye umri wa miaka 37 ameshitakiwa nchini Sweden kwa kufanya mapenzi na mifupa ya maiti. Mama huyo pia alipatikana na makala aliyoaandika akifurahia kuwa mtu wa kwanza kufanya mapenzi na mifupa ya mtu aliyefariki dunia zaidi ya miaka 50 iliyopita. Mkuu wa mashitaka Bi Kristina...
  8. Je, Wanawake Wanapaswa Kufungwa Jela kwa Mashitaka ya Uongo ya Ubakaji?

    Habari🖐 Nahic kila mtu ameshawahi kuona au kusikia kesi za ubakaji, sometimes ni kweli ilitokea na sometimes haikutokea. Hapa nazungumzia kesi ambazo mwanaume amekuwa Falsely accused and it was proven, binafsi sijui kwann wanawake huwa wanafanya hivo ila nahic wanakomoa tuu, either anakuchia...
  9. Rapa Sean 'Diddy' Combs anatuhumiwa kwa ubakaji katika kesi mpya

    P. Diddy amekumbwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kingono. Nguli huyo ameshtakiwa katika Mahakama Kuu ya Manhattan akidaiwa kumnyanyasa kingono mwanamke ambaye alimnywesha dawa za kulevya mnamo mwaka wa 1991 katika mojawapo ya kesi zilizofunguliwa chini ya Sheria ya Watu Wazima...
  10. Cassie amfungulia mashtaka Diddy yakiwemo madai ya ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia

    Cassie amefungua kesi ya dola milioni 30 dhidi ya Diddy akimtuhumu kwa ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia. Mwanadada huyo anasema muda mfupi baada ya kukutana na Diddy mwaka 2005, akiwa na umri wa miaka 19, alianza tabia ya kumdhibiti na kumnyanyasa ikiwa ni pamoja na kumlazimisha kutumia dawa...
  11. Trump akutwa na hatia kwenye mashitaka yaliyokuwa yakimkabili

    Republic wakimpitisha huyu kikongwe mhalifu kama mgombea wao wa Urais, watakuwa na kibarua kigumu kushinda. -- A judge has ruled that former United States President Donald Trump committed fraud for years while building the real estate empire that catapulted him to fame. Judge Arthur Engoron...
  12. Niger: Mohamed Bazoum, Rais aliyeondolewa madarakani kushitakiwa kwa Uhaini

    ========== Wanajeshi walionyakua mamlaka nchini Niger katika mapinduzi ya Julai 26 wamesema jana Jumapili jioni kwamba Rais aliyeondolewa madarakani Mohamed Bazoum anaweza kufunguliwa mashitaka kwa uhaini. Viongozi hao wa mapinduzi wamemfunga Bazoum na kuvunja serikali iliyochaguliwa, kitendo...
  13. S

    Dkt. Slaa adaiwa kubadilishiwa mashtaka kutoka ya uchochezi na kuwa ya uhaini

    Ameandika kwenye account yake ya mtandao wa twitter: Usiku huu, Dkt. Wilbroad Peter Slaa, mashtaka yake yamebadilishwa kutoka katika matumizi ya lugha ya uchochezi sasa amepewa mashtaka ya UHAINI. Dkt. Wilbroad Slaa yupo kituo cha polisi Oysterbay. Taarifa hii ni kutoka kwa wakili wake, Adv...
  14. Upigaji: Vigogo wa Shirika la Bima la Taifa wakabiliwa na mashitaka 365

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Samuel Kamanga na wenzake sita wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka 365 yakiwemo ya kughushi na kutakatisha fedha. Wakisomewa mashitaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Kisutu...
  15. Lijue Baraza la Sanhedrin lililotengeneza mashitaka ya kumuua Yesu

    LIJUE BARAZA LA SANHEDRIN LILILOTENGENEZA MASHITAKA YA KUMUUA YESU Wote waliokuwepo katika Baraza wakasimama, wakampeleka Yesu kwa Pilato. 2 Wakafungua mashtaka yao kwa kusema: “Tumemwona huyu mtu akipotosha taifa letu. Yeye anawaambia watu wasi lipe kodi kwa Kaisari na kujiita kuwa yeye ni...
  16. FIFA kufungua mashitaka ya kinidhamu kwa timu ya Argentina

    Shirikisho la soka ulimwenguni, FIFA limetangaza kufungua kesi za kinidhamu dhidi ya timu ya Argentina kutokana na kile ilichokitaja kama tabia zisizo za kiungwana ilizoonyesha baada ya kuchukua ubingwa wa kombe la Dunia mwezi uliopita. Mlinda mlango wa Argentina Emiliano Martinez alionyesha...
  17. Australia: Mtoto wa Waziri Mkuu asomewa mashitaka 17 Mahakamani

    Ratu Meli Bainimarama, 36, ambaye ni Mtoto pekee wa Waziri Mkuu wa Fiji, Frank Bainimarama anakabiliwa na tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia alizofanya akiwa Nchini Australia. Ratu amefunguliwa mashitaka 17 ikiwa ni pamoja na kutukana, kushambulia, kukaba koo na kuharibu mali, matukio...
  18. TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

    Manara, Hersi Wafunguliwa Mashitaka ya kimaadili na Sekretarieti ya TFF
  19. TFF yamfungulia mashitaka Kocha Azam FC kwa madai ya kuwasilisha vyeti visivyo sahihi

    Sekretarieti ya Shirikisho la Soka Tanzania imemfunguli mashitaka Kocha wa Azam FC U-17, Mohamed Badru mbele ya Kamati ya Maadili kwa madai ya kuwasilisha vyeti visivyo sahihi. Tarehe ya kusikilizwa kwa shauri hilo itapangwa na Kamati ya Maadili ambayo tayari imeshapokea malalamiko hayo.
  20. TFF yafungua shauri dhidi ya Ofisa wa Yanga, Haji Manara baada ya kudaiwa kuzozana na Rais Karia

    Sekretarieti ya TFF imefungua shauri mbele ya kamati ya maadili dhidi ya Ofisa wa Klabu ya Yanga Haji Manara, kutokana na vitendo vya ukiukwaji wa maadili. Manara alionekana akijibishana na kiongozi wa juu wa TFF ambaye ni Rais Wallace Karia, jana Julai 2,2022 wakati wa fainali la Kombe la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…