Watoto wanne wa Rais wa zamani wa Gabon, Omar Bongo wamefunguliwa mashitaka Nchini Ufaransa kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma, matumizi mabaya ya mali za makampuni na rushwa.
Watoto hao Grace, Betty, Arthur na Hermine Bongo, wote wakiwa na zaidi ya miaka 50 walifunguliwa mashitaka hayo...