Kampuni ya kukusanya takwimu ya Gallup Inc. iliendesha sensa katika majukwaa mbali mbali ikiwemo mitandao ya kijamii mwaka 2017 juu ya 'sexual orientation' ya wamarekani, na ikabaini kwamba karibu asilimia 5 ya wanawake ni LBT na asilimia 5 ya wanaume wanadabuliwa makalio, hizitakwimu zipo...
Hili tamko la kukomesha mashoga katika mkoa wa mwenye mkoa lilikuwa na strategy plans? Llilifanikiwa kukomesha mashoga katika mkoa? Kama halikufanikiwa ilikuwa ni kauli tu ambayo sasa anailipia gharama kubwa?
Serikali ya Marekani imewaonya raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania kuwa makini na matukio ya Ugaidi , uvunjifu wa haki za binadamu na uhalifu ndani ya Tanzania.
Katika taarifa yao wamedai kuwa kuna makundi ya kigaidi ndani ya nchi ambayo huenda yanajipanga kufanya mashambulizi ndani ya...
Kila siku mambo yanazidi kuzidi unga nadhani kama taifa tunapaswa tuchukue maamuzi magumu sana
Hatuwezi kuokoa taifa kwa style hii nenda arusha muone ushoga ulivyoharibu vijana dar ni cha mtoto arusha ndo hali mbaya....
Hatuwezi kujenga taifa kwa hali ilivyo mbaya...
Nashauri mashoga wapewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.