Serikali ya Marekani imewaonya raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania kuwa makini na matukio ya Ugaidi , uvunjifu wa haki za binadamu na uhalifu ndani ya Tanzania.
Katika taarifa yao wamedai kuwa kuna makundi ya kigaidi ndani ya nchi ambayo huenda yanajipanga kufanya mashambulizi ndani ya...