Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, amefikishwa mahakamani na kufunguliwa mashtaka ya uhaini, huku maombi ya mawakili wake ya kutaka apelekwe hospitalini kwa matibabu yakikataliwa.
Besigye (68) alionekana mahakamani Ijumaa, Februari 21, 2025, akiwa dhaifu na ameketi kwenye kiti...