Serikali ya Uganda imeifuta kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa chama cha upinzani Kizza Besigye, ambaye alikuwa akipambana kumuondoa madarakani rais Yoweri Museveni ambaye ametawala kwa kipindi cha miaka 35.
Besigye, amegombea nafasi ya urais mara nne na alikamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya...
Leo tena upande wa utetezi katika kesi ya Mbowe wanaendelea kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ya kesi kubwa ambapo leo tarehe 28/09/2021 Mtuhumiwa Lig'wenya anaendelea na ushahidi wake.
=======
Jaji: ameshaingia Sasa
Kesi namba 16 Inatajwa
Kesi namba 16 ya Mwaka 2021,Jamuhuri dhidi ya...
adam kusekwa
hali
kesi
kesi ya mbowe
kesi ya mbowe na wenzake
kutoa
kwao
mashtaka
mbowe
nidhamu
pongezi
septemba
upande
ushahidi
ushahidi kesi ya mbowe
wenzake
Paul Rusesabagina aliyeonyeshwa kama Shujaa katika filamu kuhusu mauaji ya kimbari ya 1994 amekutwa na hatia katika Mashtaka yanayohusiana na ugaidi.
Anatuhumiwa kuwa mfadhili wa kundi la waasi ambalo lilifanya mashambulizi Nchini Rwanda na kuua Raia kadhaa mwaka 2018.
Familia ya Rusesabagina...
Jana nilikuwepo Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi. Sikwenda pale kwa minajiri ya kuhudhuria kesi ya akina Mbowe. Nilikwenda kufuatilia mambo ya mwanangu anayesoma pale Law School of Tanzania. Kwakuwa nilimaliza kilichonipeleka mapema na niliwaona hata marafiki zangu wakijumuika...
Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi.
Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni.
Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari...
Mimi nashangaa kidogo jinsi mambo yanavyokwenda dhidi ya mashtaka ya wabunge Mch. Gwajima (Kawe - CCM) na Jerry Silaa (Ukonga - CCM) ambapo mjadala unaendelea hata sasa niandikapo hoja hii...
Tayari m/kiti wa kamati ya "kuhoji" wenzake ameshasoma taarifa ya mahojiano na mapendekezo ya hatua...
Mkurugenzi wa Mashitaka ya jinai nchini l (DPP)amemfutia Mashtaka ya uhujumu uchumi yaliyokuwa yakimkabili Mahakamani mhadhiri wa Chuo kikuu cha SAUT tawi la Arusha, Subilaga Masebo na wenzake wanne.
Akiwasilisha maombi ya kuondoa shtaka hilo, mwendesha mashtaka wa serikali Lusiana Shaban...
Mahakama ya mkoa Mwera imemhukumu Mussa Nassibu Ismail (21) ambaye ni Mwalimu wa madrasa Kiboje wilaya ya Kati, mkoa wa Kusini Unguja kutumikia miaka 80 jela na faini ya shilingi milioni 3 kwa kosa la kushindwa kujizuia matamanio yake na kumbaka na kumtorosha mtoto wa kike mwenye miaka 15...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia kesi na kumwachia huru msanii wa vichekesho, Idris Sultani na wenzake wawili baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) akielezea mahakama hiyo kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo.
Sultan na wenzake walikuwa wanakabiliwa na shtaka moja...
Kuna maneno ameyaandika "Bwana yule" siku ya leo yanafikirisha kidogo. Lakini ukiyatazama kwa undani haya maneno nadhani ndo kilichomkata nguvu Mange Kimambi kuendelea kushikamana na wanachadema katika the so called "Harakati wa kudai demokrasia Tz"
Bwana yule ameandika katika Twitter yake kama...
Kampuni ya aliyekuwa Rais wa Marekani mwaka 2017-2021, Donald Trump pamoja na Mkuu wa Idara ya Fedha wameshtakiwa kwa makosa yanayohusiana na Kodi.
Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, mpango huo wa miaka 15 ulisaidia Watendaji kukwepa Kodi kwa kutoa marupurupu kama Ada ambayo yalifichwa kutoka...
1. Waliohusika kumkamata wafunguliwe mashtaka.
2. Waliomtesa wafunguliwe mashtaka.
Tatizo kubwa la Watanzani wengi wana short term vision. Tayari wamesharidhika. Mdude asaidiwe waliomtendea huyo Unyama wote wafunguliwe mashtaka. Wasiachwe hivi hivi. Ili next time wanapotakwa kufanya huo unyama...
Hongera sana Rais Samia na DPP Mwakitalu, hakika mmeonyesha jinsi mlivyo na hofu ya Mungu kwa hatua ya kuendelea kuwafutia mashtaka watuhumiwa wa makosa ya kubambikiziwa.
Tunawaomba na wale watuhumiwa kutoka upinzani walioshtakiwa kabla ya uchaguzi mkuu nao ni makosa ya kubambikiziwa ili...
Waswahili walisema ndo ndo ndo si chururuu. Wala Lila na Fila havikupata kutengamana.
Hii ikiwa ni kwa maana halisi ya kuwa awamu ya sita si awamu ile ambayo mahabusu walikuwa wakipigiwa mahesabu kuwa chanzo cha nguvu kazi. Eti kuwa asiyefanya kazi na asile.
- DPP amewafutia kesi waliodaiwa...
Aisee kumbe inawezekana kabisa kuzishitaki hizi kampuni za mitandao ya simu? Manaake naona wamekua na tabia ya kujifanyia mambo kiholela sana. AY na Mwana Fa walionesha njia naona na huyu mwamba kaamu kujilipua pia.
Jamaa Alikatwa TZS 4,650/- na Tigo kimakosa, Akawashitaki TCRA kuomba Fidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.