masikio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je kuna ulazima kwa kuwatoboa pua na masikio watoto wachanga?

    Hii ni moja ya mada inayozungumzwa sana baina ya watu, na ina maoni tofauti kutokana na mtazamo wa mtu na mtu. Tunafahamu kuwa ni wazi suala la malezi ya watoto katika kipindi hiki yamebakia kwa wazazi wenyewe huku athari zikiwa ni kwa jamii, tofauti na zamani ambapo mtu mwenye umri na rika...
  2. Mwenye macho na masikio haambiwi tazama na sikia. Sitii neno hapa, tafakari mwenyewe

    Soma kichwa cha habari cha video, halafu tazama na sikiliza wanachokiongea hao jamaa. Halafu, tafakari kwa kina. https://youtu.be/Uu95VpOzQ3c?si=XxVL8cS2tKG4IkHv Kama muda wako hautoshi au MB chache anzia hapa. https://youtu.be/Uu95VpOzQ3c?si=SGqFhc3PLBRo94Gi&t=788
  3. E

    Msaada tatizo la masikio

    Habari wana Jf, miaka miwili iliyopita nilianza kujigundua kuwa na shida ya usikivu nilipoenda hospitali nikaambiwa shida yangu ilisababishwa na earphones hivyo usikivu wangu umeshuka na hakuna tiba mbadala. Shida niliyoipata tokea nipime usikivu zile sauti za vipimo huwa zinajirudia masikioni...
  4. Ya Erick Kabendera, kifo cha Ben Saanane na kisa cha mfalme mwenye masikio marefu kama ya punda

    Palikuwa na mfalme mwenye masikio marefu kama ya punda. Siku moja mfalme alimuita kinyozi amnyoe nywele zake lakini asitoe siri kwa atakacho kiona. Kinyozi alipo mnyoa mfalme akaona mfalme ana masikio marefu kama ya punda. Kinyozi alijizuia sana asicheke wakati anamnyoa mfalme. Na alipo fika...
  5. Mwenye masikio na asikie

    Kumpa mwanaume huduma zote za mke ikiwemo kumfulia, kumpikia,tendo la ndoa nk wakati hajakulipia mahari ni kuchafua nyota yako. Huo ndio ukweli japo mchungu Mwanaume lazima umnyime haki za ndoa ili umuoneshe umuhimu wa yeye kukamilisha taratibu zote akuchukue kwenu na kukutumia kihalali...
  6. Wakuu ni kweli kisu ukikatia vitunguu kinakuwa butu au tunashikana tu masikio

    Mwenye kujua uhusiano uliopo wa kisayansi hasa kikemia ni kivipi kisu ukikikatia vitunguu ukali wake unaondoka, binafsi mimi sijapata muda wa kufanya hio tafiti nithibitishe kama ni kweli au chai kama chai nyingine.
  7. Tofauti na Bugando, Hospitali ipi Mwanza ina matibabu bora ya masikio?

    Nasikio sauti kama kengere na muwasho wa mara moja moja. Pia mvuto kama presha hivi masiikioni. Nisaidieni kupata kituo kizuri hapo Mwanza
  8. M

    Kuna uhusiano wowote wa masikio kuwasha na ushirikina

    4
  9. R

    Pre GE2025 CHADEMA kuweni makini na chaguzi zisiwagawe, CCM wanasubiri mkono uanguke waukamate. Macho na masikio ya CCM yako kwenu sasa

    Habari ndiyo hiyo. Hizi juhudi za Mbowe aondoke, ni mkono wa chuma wanaouogopà. Wanasubiri uanguke washangilie. Msiruhusu kitu kama hicho. Msiwe wepesi wa kusahau. Mnadhani Mashinji (nadhani ndiye aliyekuwa amegombea uenyekiti? Nisahihisheni) angelipata uenyekiti Chadema ingelikuwepo? Chukueni...
  10. G

    Family business: Mke wa kamshika masikio kaka, anazidi kuingiza ndugu zake, ndio mwanzo wa hostile takeover ??

    kuna family business ya close relatives naona inakoelekea sio kuzuri and i am so concerned, Binafsi nimepewa huu mkasa na moja wanafamilia ila nikaona mawazo yangu pekee yanaweza yasitoshe. OK ipo hivi.... Inatokea mna family business mliachiwa na wazazi muisimamie. Kaka mwenye nafasi kubwa...
  11. Maumivu makali ya masikio

    Salaam wakuu, Mimi nasumbuliwa na masikio yote mawili yanauma sana kama vile mtu anasukumiza matambara huko ndani, yakianza kuuma hivyo nasikia na kichwa kinaniuma na ninahisi kizunguzungu kwa mbali. Nilienda hospitalini Dr akasema Sina maambukizi ya sikio wala Sina uvimbe ndani ya sikio...
  12. Pre GE2025 Mwenezi akiwa Makonda, Chadema na Lissu walipoteana, Masikio ya Watanzania yalielekezwa Kwa Makonda, kwasasa Lissu anajipigia tu

    Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!. CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana . Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale...
  13. S

    Kauli ya Lissu ya Rais Mzanzibar ni matokeo ya kufumba masikio Tanganyika kuwa na Serikali yake na viongozi wake watakaoamua mambo yao, asilaumiwe!

    Kwanza niombe moderators muiache hii thread ijitegemee, inaenda mbali zaidi ya kauli ya Lissu. Kama una akili timamu na za kutosha, utakuwa umegundua kwamba suala la kusema kero za muungano zinatatuliwa limekuwa ni suala la kuzidi kuipa Zanzibar mamlaka yake kama nchi kamili na kuiondoa kwenye...
  14. Uhusiano unao nichanganya kati ya mafua na kuziba kwa masikio

    Wakuu poleni na swaumu (kwaresima na mfungo wa ramadhani). Tangu nikiwa mdogo napata hiyo shida ya kuziba kwa masikio pindi ninapo fanya usafi wa kutoa bugudha ya mafua. Kwa anaye jua huu uhusiano kwamba unapo penga hizi mucus za pua tufanyeje ili masikio yasilete tabu mana hapa sikio moja...
  15. CDF Mabeyo amepasua masikio yetu, pata madini ya Askofu Bagoza

    CDF MABEYO AMEPASUA MASIKIO YETU Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, amesema maneno yanayopasua ngoma za masikio yetu. Amefanya mahojiano na “kutoa siri” za kilichotokea miaka 3 iliyopita wakati hayati Rais JPM anaaga dunia. Nimesita kumpongeza na nimesita kumlaumu. Nimewahi...
  16. Mayowe ya watu wa Gaza ambayo watu wameziba masikio kuyasikiliza. Waomba msaada kwa mmoja tu

    Vita vinaingia mwezi wa tano. Wapalestina wa Gaza wamepiga makelele sana na hawakupata msaada wanaostahiki. Sasa ni mayowe tu kutoka kila eneo mfano wa yale mayowe ya watu waliovamiwa na majambazi wenye silaha usiku. Mayowe sasa hivi yanatokea Rafaha mpakani na Misri. Upande wa nyuma kuna...
  17. Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za kwa maslahi ya taifa, Chadema ni chama cha Kitaifa hivyo haya yanayoendelea ndani ya Chadema katika huu mgogoro wake na wabunge wake 19 wa viti maalum, una athari za Kitaifa zenye maslahi kwa taifa. Hoja yangu ya leo...
  18. Mimea ina masikio?

    "Whatever you praise, you increase!" Hiyo kauli ni miongoni mwa nukuu zilizopo kwenye kitabu cha M. R. Kopmeyer. Kopmeyer, ambaye hujiita pia America's Success Counselor, anaongeza kuwa katika tafiti zilizofanyika, wanawake waliokuwa na tabia ya kusfia maua yao, walikiri kuwa mimea yao...
  19. Oscar Oscar uache kuwaita wachungaji ni matapeli! Chambua soka, achana na wachungaji kabisa

    Huyu ni Oscar Oscar wa wasafi media! Akishakaa kwenye mic za WCB! Anaona anaweza kukanyaga kitu chochote! Maandiko yanasema ONDOA kwanza boriti kwenye jicho lako, ndipo utazame boriti kwenye jicho la mwenzako, Osca analalamika kwamba sadaka zimekuwa sehemu ya utapeli makanisani, kama ni hivyo...
  20. D

    Naomba ufafanuzi kuhusu Matibabu ya masikio

    Habarini Wana jukwaa. Naomba kwa mwenye taarifa juu ya operation za cochlear implant surgery kwa Tanzania na gharama yake na hospitals zinazotoa huduma hii pia anijulishe kwa upana zaidi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…