masikio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    Zuchu nimekusikia vizuri ama?

    Are u telling me what I think ur telling me? Kilaza mmoja ATA comment" Yani wewe mwanaume mzima unafuatilia watoto wa kike" ? Shaabash!!! mwanaume rijali naachaje kufuatilia watoto wa kike?
  2. Determinantor

    Je Vijana wa CCM wamejifunza jambo au bado wameziba masikio??

    Hatimae kijana Jasiri, imara kweli kweli amehukumiwa 30yrs nyuma ya nondo, huu ni mzunguko wa kwanza, bado kuna mizunguko miwili nasikia.... Tumekua tukiwasihi hata kwa machozi, vijana wasidanganywe na kutumiwa kuficha maovu au hata kuyatenda! Sasa baada ya songombingo hii ya "From Hero to...
  3. OMOYOGWANE

    Kuna wakati macho na masikio huwa yanatudanganya

    Kazi ya macho ni kuona, vile vile kazi ya masikio ni kusikia, Lakini sio kila tunachokiona au kukisikia kina ukweli ndani yake, Kuna wakati macho na masilio hutudanganya mfano: unaweza kuona samaki yupo mtoni kwenye kina kifupi cha maji kumbe yupo chini ktk kina kirefu tofauti kabisa na...
  4. J

    Shaka: Watanzania watege sikio tarehe 09 Oktoba Dodoma, Rais ana jambo la kuwaambia watanzania

    SHAKA: TUTEGE MASIKIO TAREHE 09 RAIS ANA JAMBO KWA WATANZANIA. Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka amesema mpaka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25 itakua imetekelezwa kwa zaidi ya asilimia 100 kwa namna Mwenyekiti wetu na Rais wa Tanzania Ndg...
  5. Logikos

    Tusiwazibe midomo wapotoshaji, bali tufunge masikio yetu na kuwapuuza

    "I might disapprove of what you say, but I will defend to the death your right to say it" Siafiki mengi yanayosemwa na wapotoshaji.., lakini sifurahii kuwaziba midomo so called wapotoshaji, sababu kama tukiwaziba midomo leo na kweli wamepotosha uzibaji midomo huo huo unaweza kutumika kesho...
  6. D

    Msaada: Tiba ya masikio kulia kama kengele

    Wakuu habari, Naomba masaada mwenye kujua tiba mbadala au ya kisasa ya masikio kulia kama kengele au miluzi. Janga hili linanitesa sana nashindwa kusikia vizuri.
  7. 2019

    Hii dhana ya kumzibua mtoto masikio ni kweli au maneno tu?

    Nawasalimuni kwa jina la JMT? Kama kichwa kinavyoeleza je ni kweli mtoto akizaliwa kuna kipindi wazazi wake wanatakiwa kukutana kimwili(kufanya ngono) ili kumzibua masikio? Kama hawajakutana je kuna madhara kwa mtoto? Kama ni kweli ni baada ya siku ngapi baada ya kujifungua? Kwa singomaza...
  8. BAK

    #COVID19 Rais Samia: Miji mikubwa ya Tanzania tayari imekumbwa na wimbi la tatu la Covid-19

    Rais Samia akiwa katika ziara yake mkoa wa Morogoro maeneo ya Kibaigwa amewataka wananchi wote kuchukua tahadhari juu janga la Covid-19. Katika kufafanua jambo hili Rais Samia amesisitiza kuwa wimbi la tatu la ugonjwa huu limeshaanza kutikisa katika miji mikubwa ya taifa la Tanzania. Aidha...
  9. Unyayo

    Depression inaniathiri, nakaribia kujiua

    Thread closed!
Back
Top Bottom