masikio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wenye masikio wasikie na Wenye macho waone: Bunge linawaalika wadau kutoa maoni

    Kamati tatu za Kudumu za Bunge zinawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Itifaki mbili na Katiba ya Tume ya Afrika ya Usafiri wa Anga ya mwaka 2009
  2. Uwekezaji bandari. Mwenye masikio na asikie

    Kumbe kunawaliojaribu kuishauri serikali. Mambo ni mengi muda mchache. Kula chuma hichoo!
  3. Dawa ya mtu aliyeziba masikio ni kumuwekea loud speaker, kazi iendelee

    Nimesikia kwamba Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samiah Sukuhu Hassan hataki kusikia maoni ya wananchi wake juu ya mkataba wenye ukakasi wa ugawaji bure wa Bandari zote za Tanganyika. Sina shaka habari hizi ni za ukweli, maana nimeona video clip, na it seems aunthentic. Sasa hapa kuna maswali...
  4. Rais Samia kama unandhani hoja za Watanzania ni Makelele basi endelea kuziba Masikio

    Mara kadhaa nimemsikia Rais akijibu hoja nzito kwa vijembe na taarabu. Watu wazima na akíli zao wanajipanga kutoa hoja afu wewe bila staha yoyote unasema ni Makelele. Aendelele kushapaza shingo na hao wanaompa kichwa mda ukiwadia hatawaona tena. Tanzania ni ya Watanzania siyo ya Rais Samia...
  5. Naombeni ushauri wenu juu ya mtu mwenye matatizo ya masikio anaweza kufanya shughuli ipi ikiwa ana mtaji wa fedha ?

    Habari zenu, awali leo niliweka maana >> hii << juu ya ndugu yangu ambae ana chang moto za kusikia. Kwa ufupi ni kwamba alizaliwa fresh ila akapata homa akiwa na miaka 9, alipigwa sindano ya kwinini kwa dozi iliyozidi matokeo yake taratibu akaanza kupoteza usikivu mpaka imekuwa ni tatizo kabisa...
  6. Uzi maalum wa kuwatambua watu wenye ulemavu wa viungo waliofanikiwa ili kuwatia moyo wengine wasikate tamaa

    Hii inaweza kuwa motivational post pia ya kuonesha kwamba ulemavu sio kushindwa kabisa. Kwa upande wa albino nimewaacha maana kwao wana nafuu, bado wanaweza kusikia, kuongea, kuona, kufikiri, kutembea, n.k. hapa kuna kina Manara, Keisha, Abdallah Posi, Albino flani (R.I.P), n.k. Ila sasa kuna...
  7. Msisafishe masikio kwa kutumia pamba, sikio lina utaratibu wa kujisafisha lenyewe

    Dkt. Jane Bazilio ambaye ni Daktari Bingwa wa Pua, Koo na Masikio kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani-Tumbi anaelezea kuhusu afya ya sikio. Anasema "Watu wengi wamekuwa na matatizo ya kupata fangasi kwenye masikio, natoa wito kwa Wananchi kuwa wakati wa kuoga wasiingize maji kwenye...
  8. Bibi kizee anyofolewa masikio na mtoto wake wa kumzaa wakati akiwa amelala

    Mkazi wa Kitongoji cha Kalilangwa Kijiji cha Mchangani Kata ya Ikola, Tarafa ya Karema Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi Winfrida Athanas (63) amenyofolewa masikio yote na mtoto wake wa kumzaa mwenyewe baada ya kumvizia wakati akiwa amelala usingizi chumbani mwake. Tukio hilo la kusikitisha...
  9. TBC FM tafuteni maudhui ya vipindi vyenu, mnakera masikio yetu

    Hapo mwanzo nilikuwa mfuatiliaji sana wa vipindi vya radio...ila niliacha kutokana na kuwa bize na harakati za maisha,nilipenda kufuatilia kutokana na mpangilio mzuri wa vipindi na maudhui yake. Huku kwetu hakuna radio yoyote isikilizwayo zaidi ya TBC Taifa na TBC Fm kwahiyo haina...
  10. Rais Samia kuongoza CC ya CCM leo, macho na masikio ya Watanzania ni majina ya Walioteuliwa kugombea nafasi za Mkoa na Taifa

    === Ni masaa machache tu baada ya kurejea kutoka katika Mkutano wa Dunia wa Uhifadhi wa Mazingira wa 27 yaani COP27 huko Nchini Misri, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu...
  11. Ni dawa gani madhubuti kwa mwanamke asiyesikia?

    Una mwanamke mpo kwenye mahusiano, hasikii haambiwi, haoni. Ni kiburi pamoja na dharau pale ambapo anakuwa amekosea, unatamani umzabe kofi umsororoe hiyo mikamasi kwa ndoo(kichwa). Ila unamtazama tuu unamvutia kasi. Diplomasia imetumika mpaka yenyewe imechoka inataka kuchanja mbuga. Mimi niko...
  12. Hospitali ipi naweza kupimwa masikio?

    Wakuu, Shida ni hiyo maana nasumbuliwa na kizunguzungu mno, kila nikigoogle naambiwa Vertigo ambayo ni shida kwenye sikio maana sina balansi kabisa
  13. C

    Manara kumbuka masikio hayazidi kichwa ona sasa unaula wachuya

    Kweli, asiyefunzwa na mamaye , hufunzwa na ulimwengu. Msemo huu umemkuta Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara baada ya kumtokea puani maneno ya hovyo aliyowahi kuyasema siku kadhaa nyuma kuonesha kwamba yeye ni mwamba na hivyo hawezi kufanywa chochote na mtu yeyote ndipo ameamuamua kumuomba...
  14. C

    Manara kumbuka masikio hayazidi kichwa, ona sasa unaula wachuya

    Kweli, asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Msemo huu umemkuta Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara baada ya kumtokea puani maneno ya hovyo aliyowahi kuyasema siku kadhaa nyuma kuonesha kwamba yeye ni mwamba na hivyo hawezi kufanywa chochote na mtu yeyote ndipo ameamuamua kumuomba...
  15. P

    Ni ujinga kudhani kuwa ili watu watege masikio kwa Rais Samia ni kuviponda vitu alivyofanya Hayati Magufuli

    Ndiyo, ni ujinga na ujuha Mkubwa kwa wana CCM wachache wanaoamini kuwa, bila kuviponda na kudhihaki kazi za Hayati JPM na hata kumdhihaki yeye mwenyewe JPM, watu hawatatega masikio yao kusikia yale anafanya Rais Samia kwa sasa! Au kumsikiliza. Kwani kinachofanywa na wana CCM wahuni, kuponda na...
  16. Hivi Urusi husubiri nini kuivamia jirani Finland ukizingatia kachokozwa na kuchokonolewa kwenye mapua na masikio

    Finland na Urusi wanachangia mpaka wenye urefu zaidi ya kilomita 1,300km Urusi amejiingiza kwenye vita dhidi ya Ukraine akiwa na nia ya kuonyesha makucha yake kwa majirani wote, na kuwaonya wasijiunge NATO na wala wasimsaidie Ukraine, ila huyo Finland amekua akikiuka hiyo amri kwa kumsaidia...
  17. Siwezi kuyaona masikio yangu nikijipiga selfie au Passport size, nifanye nini?

    Kuanzia mwezi wa March nimekuja kugundua nikijipiga picha masikio siyaoni kabisa, ni mpaka nigeukie kamera upande wa sikio, kiukweli napata stress. Baadhi ya watu wanasema nmenenepa ila ni mara chache na mimi huwa najiona kawaida tu, kama ni hivyo nawezaje kutatua hilo tatizo la masikio
  18. Upigaji wa GSM unafanyika kimyakimya Yanga, Wabongo wameamua kuziba masikio

    Kuna michongo inaendelea kimyakimya, ni kama vile Wabongo hawajui kinachoendelea lakini kiuhalisia wachache nao wanaojua wameona bora wakae kimya. Inakera lakini tutafanyaje, ndiyo tumeaachia Wabongo wapige kimyakimya. Huu mchongo wa kuuza jezi na bidhaa nyingine zenye nembo ya klabu...
  19. Tuhuma za Yanga, Simba kununua ubingwa, TFF, Bodi ya Ligi, mnaziba masikio

    Ukifuatilia mitandaoni kwa sasa watu wa soka kuna kelele fulani hivi zimekuwa zikiendelea kwa kasi, ilianza kimya kimya, lakini taratibu zinaenda zinashika kasi. Timu fulani kubebwa au timu hii inatengenezewa mazingira ya ubingwa ni maneno ambayo yanasikika sana mtaani na mitandaoni. Awali...
  20. C

    Sauti kutoka Butiama: Haya ni "kansa" kwa Taifa letu, Mkiziba masikio, tunagota!

    Habari wana JF, Tumeacha njia, tupo ukingoni. Nchi ipo pabaya sana, Kwa viashiria vyote! Hakuna mjadala, wala hakuna mwenye majibu. Si UMOJA wetu, wala.......Si UZALENDO wetu......., vyote vimetikiswa nyang'anyang'a. Kutoka hapa Mwitongo - Butiama, haya mambo ndio "KANSA" zinazolitafuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…