Hebu fikiri huu wizi ambao hautumii nguvu Bali akili tu.
1. Kanisani unapigwa hela kupitia sadaka na micahango mbalimbali wakiita zaka.
2. Mtaani unapigwa kwa michango mbalimbali ama harusi, vifo, sherehe kama mtoto amezaliwa au anabatizwa nk.
3. Serikalini ulipe Kodi napo kwa njia mbalimbali...