Marekani ni nchi tajiri, hiyo inafahamika!
Pamoja na hayo, bado kuna raia wake wasiokuwa na makazi wala chakula, ambao wanaishi kwa kuomba omba.
Lakini ndiyo nchi inayoongoza dunianai kwa kutoa misaada.
Nini sababu ya Marekani kuzisaidia nchi zingine wakati kuna raia wake wanaohitaji...