maslahi ya taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Simba na Yanga ziache ubinafsi kwa maslahi ya taifa

    Ndugu wana JF, Kwanza nikiri kuwa mimi ni shabiki wa Simba Sports Club Miaka 33 sasa. Juzi nilikuwa Igurusi mkoani Mbeya kuna sehemu nilikuwa napata chakula. Eneo nililokuwepo nilikutana na wanachama na mashabiki wengi sana wa Simba sports club wakiwa wamevalia jezi za Simba huku wakiwa na...
  2. Pre GE2025 Lema afunguka baada ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA, Mbowe ni kaka yangu ila Lissu ni bora zaidi wakati huu

    Godbless Lema avunja ukimya baada ya ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA adai yeye kwenda kinyume na Mwenyekti Freeman Mbowe ilikuwa ngumu sana. "Nitendo gumu la kisiasa, katika matendo magumu ya kisiasa nimeshawahi kuyafanya hili ni namba moja katika maisha yangu, Mbowe ni kaka yangu, ni...
  3. TRA na Wizara ya Fedha inatakiwa kupiga hesabu kwa maslahi ya taifa

    Cc: TRA Tanzania, Dr. Mwigulu Nchemba Kuchaji kodi ya Dungu 15M na magari 50 000 tu yakaingia kwa mwaka inapata Shs 750,000,000,000// bilioni 750 tu Wakati kama itapunguza kodi na kuwa shs 5M kila Dungu 4×4 used na kwa kufanya hivyo sasa yakaingia mengi milioni moja kila mwaka na kusambaa...
  4. Eliakim Maswi aitaka Wizara na TLS kushirikiana kwa maslahi ya Taifa

    Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi katika kikao kazi kilichowakutanisha Wizara, Baraza la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) na Kitengo cha Kuzuia Utakatishaji wa Fedha Haramu kwa lengo la kujengeana uwezo wa utekelezaji wa masharti ya Sheria...
  5. Waandishi wa Habari mliopo humu JF haya ya kutekwa wanachama wa upinzani au wanaokosoa hamuyaoni au kukemea sio kwa Maslahi ya Taifa?

    Habari sitaki kusema mengi ila Najiuliza tu wale wanahabari ambao hua mnatuletea thread za Maslahi kwa Taifa Mara Mama ni mtu mwema umeambiwa na sauti from within je haya yanayoendelea ya wanawake kulawitiwa. wapinzani kutekwa au wakosoaji kutekwa mkiyasema sio kwamba ndio mtakua mmefanya kwa...
  6. Y

    Maoni binafsi: Tanzania ipitishe azimio la kukataa shule za jinsia moja kwa maslahi ya taifa la kesho

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nathubutu kuandika uzi huu kulingana na experience yangu na hizi shule, lakini pia kile ambacho mimi naona kingefaa. Hapo zamani ilikuwa ni hadithi tu kwa baadhi ya matukio ya kutisha na yasiyo ya kistaarabu kutoka katika shule za bweni...
  7. M

    Manula arudi uwanjani kwa maslahi ya taifa

    "Aish kukaa nje hakulisaidii taifa, kuna michuano mikubwa inakuja kumuweka Aish kikosi B sio vizuri, Aish anaitaji kua langoni sio kwa maslahi yake bali kwamaslahi ya taifa. wakati mwingine taifa linapaswa kuingilia kati mambo kama haya kwa maslahi ya taifa. Kuna wakati wa Brazili walimwambia...
  8. Hizi pangua pangua za Rais Samia kwa wateule wake kila uchao zote zina maslahi kwa taifa au kuna flip-flops?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na maswali yakifuatiwa na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe. Swali la leo ni kuhusu hizi panga pangua au pangua pangua za Rais Samia kwa wateule wake kila uchao, je zote zina maslahi...
  9. S

    Kwa yanayoendelea sasa Arusha, najiuliza, Makonda alipangiwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha kwa maslahi ya Taifa au ya wawekezaji toka Uarabuni?

    Kwa wale mlio wakazi wa Arusha na Manyara huko, nadhani mmeona kwamba hivi karibuni kumekuwa na shughuli nyingi zinazohusu wale wanaosemwa kuwa wawekezaji nchini toka mataifa ya Uarabuni. Mara kadhaa Makonda ameonekana kushiriki kikamilifu katika shughuli wa "Wawekezaji" hawa. Madege makubwa...
  10. B

    SoC04 Udhibiti na kuimarisha utawala bora, mifumo ya kiserikali kulinda rasilimali na maslahi ya taifa

    Imewahi kunukuliwa kwa viongozi waliopita wa Taifa letu na kitu ambacho ni ukweli ya kwamba nchi yetu ni tajiri, Na utajiri wetu unajidhihirisha katika rasilimali zetu za asili kwa maana ya madini, mbuga za wanyama (utalii), maziwa, mito na bahari, ardhi na watu. Kwa maana nyingine tuna kila...
  11. Godbless Lema apongeza harakari za Luhaga Mpina

    Katika ukurasa wake wa X (Twitter) Godbless Lema ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini amepongeza harakati zinazofanywa na Luhanga mpina katika kupambania maslahi ya nchi. Katika andiko hilo Lema anaandika Heshima ni bora kuliko dhahabu na fedha.Unafanya kazi nzuri,umekuwa jeshi la...
  12. S

    Dhana ya maslahi ya wasanii kupiganiwa na wasanii inatulemaza na kutuangusha sana

    Hivi wasanii kwa kaliba yao na ubutu wao wa uelewa, kuna la maana wanaweza kulijenga ktk meza ya majadiliano yahusuyo sera, mipango, mitazamo ya sanaa na mustabari wake? Kulikuwa na haja gani ya mhe rais kuambatana na wasanii ktk ziara yake huko Korea ? Kwann rais asingeambatana na "watu...
  13. Nashauri Naibu Waziri Mkuu atenguliwe na nafasi hiyo ifutwe kwa maslahi ya Taifa

    Habari, wanajamvi kutokana kutokua na tija na ufanisi kwa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu , ninamshauri Mh Rais atengue nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kwa mamlaka yake na katiba nafasi hiyo ifutwe kabisa na vyombo vya dola vielekezo macho yao katika mipaka hasa nchi jirani mpaka kama Rusumo...
  14. B

    Pre GE2025 Jeshi msipotambua umuhimu wenu, mtatumika vibaya kwa maslahi ya wanasiasa na wala siyo kwa maslahi ya Taifa

    Hili suala la jeshi kuamriwa kufanya usafi kila vyama vya upinzani vinapotangaza maandamano halikubaliki. Wote tunalia hali ngumu ya maisha ikiwemo wanajeshi pamoja na familia zao na viongozi wa serikali wako kimya, halafu wanapotakiwa kufanya kitu walau hata kwa shinikizo la maandamano...
  15. Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten

    Wanabodi Nijitambulishe tena na tena, kuwa japo mimi Paskali Mayalla, ni mwandishi tuu wa Habari wa kujitegemea kwa kujitolea, na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, na kwa sasa mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, hivyo kupitia uzoefu wangu wa utangazaji...
  16. Askofu Bagonza ameandika haya kwa maslahi ya taifa kwa fasihi nzuri

    Na Askofu Bagonza 1. Rushwa Rushwa bandarini ndiyo imesababisha bandari ifanywe inachofanyiwa. Wakiishapeana rushwa, serikali inakosa mapato, mizigo inachelewa, inapotea, na bandari limekuwa pango la majizi. Swali ni je, kila penye rushwa tuuze? Tubinafsishe? Tukabidhi sekta binafsi? 2 ...
  17. M

    Siasa ni mfumo wa maisha, hakuna namna mtanzania ataacha kujihusisha na siasa.Tuwaache waongee,wakosoe. Uzalendo na maslahi ya taifa yazingatiwe

    Wanabodi Nianze kwa kuchukua tafsiri ya neno Siasa kutoka Wikipedia Dictionary Politics (from Ancient Greek πολιτικά (politiká) is the set of activities that are associated with making decisions in groups, or other forms of power relations among individuals, such as the distribution of...
  18. Ufisadi na Mikataba mibovu ya Serikali. Tatizo ni Idara ya Usalama wa Taifa haipo kwa ajili ya kulinda maslahi ya Taifa bali watawala

    Leo hii sisi CHADEMA tunafuatiliwa na Tiss kwa kila nyendo zetu. Tukiandaa mikutano ni kosa, tukipata misaada ni kosa hata tukipata sapoti tu hawa Tiss wanatufuatlia kila kona. Lakini huwezi kusikia wanafuatilia ufisadi unaofanyika hapa nchini. Angalia ripoti ya CAG imeanika madudu makubwa na...
  19. Kati ya raia wa kawaida na utawala wa CCM ni kundi gani lina uchungu kwa maslahi ya Taifa?

    Tukirudi nyuma kuna mikataba mingi mibovu serikali ilijikita nayo mwisho wa cku ikaja kuonekana hasara kwa Taifa. Na katika hiyo waliokua wanapiga kelele kupinga mikataba hiyo mibovu kwa minajili italiingiza Taifa kweny hasara ni upinzani baadhi na wananchi wa kawaida kbs, sasa swali langu ni...
  20. Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!

    Wanabodi, Leo asubuhi hii waheshimiwa wabunge wetu, wataujadili mkataba wa IGA ( Intergovernmental Agreement), na baada ya hapo ndipo HGA ( Host Government Agreement) zitaingiwa kati ya TPA na DPW baada ya IGA kupitishwa. IGA kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai, kuruhusu kampuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…