Imefika wakati sasa, somo la uzalendo lifundishwe kwa undani zaidi ili kuweza kukomboa fikra za vijana. Vijana wengi leo hii wanadhani uzalendo ni kumtetea kiongozi wa nchi na ndio maana wanaanzisha hadi vyama vya kusifia.
Tupate fursa ya kufahamu kuhusu uzalendo.
Tff fikiri, timu zetu zinaenda kimataifa, ambapo zikishinda Tanzania imeshinda na pia rank za vilabu kimataifa zinapanda.
Hivyo ili kuepusha majeruhi na uchovu tunaomba TFF mlifikirie hili, Yaani mmekaa mnanenepeana hamwangalii ratiba inavyovibana vilabu vyenu ila vikishinda mnakuwa wa kwanza...
Nimekuwa nikifuatilia waandishi wa habari wa nchi hii, nikagundua kuwa zile habari muhimu sana, zenye maslahi mapana kwa Taifa hili hawaziandiki na badala yake, wao Kila siku ni kuandika "mapambio" ya kusifu na kuabudu viongozi walioko madarakani!
Waandishi wa habari wa nchi yetu, wamejijengea...
Wanabodi,
Baada ya kunikuta kilichonikuta kwenye EALA, naendelea kuomba sana Mungu anifundishe kunyamaza, ila kwa vile maisha yangu yote ya miaka 30 kwenye media, kazi yangu ni kuuliza tu maswali, hivyo kila nikutana na jambo ambalo kwangu naliona haliendi sawa, napatwa a burning desire to ask...
Pascal Mayalla nakusalimu.
Nimekuwa msomaji na mfuatiliaji mzuri sana wa makala zako ulizozibandika jina la "Kwa Maslahi ya Taifa".
Kupitia makala hizi nimekuwa nikijifunza vitu mbalimbali na bingo sana.
Kikubwa zaidi nilichojifunza, hizi makala zipo kwa ajili ya kuwaponda wapinzani na...
Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameipongeza timu Yanga kwa kutwaa ubingwa wa soka wa Tanzania msimu huu.
Ameyasema hayo leo usiku katika uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar Es Saalam mara baada ya mchezo ligi Kuu (NBC) ambapo ameyataja mafanikio hayo...
Dah kumbe ule msemo kuwe adui muombee njaa nj kweli.
Chadema wana hali mbaya sana kifedha.
Wamesahau hata majukumu yao kama wapinzani makini wanapaswa kupinga mambo yasiyo na tija yanayoendele hapa nchini.
Lakini wameunga mkono na wanasifia bila aibu.
Mbowe amefyata mkia kama mbwa koko na...
Nini kinaendelea hapa? Ni madili makubwa kwa ajili ya wanaCCM wajanja na wapigaji. Kwani haya makubaliano binafsi ya Rostam Azizi na wafanyabiashara wa Usa mpaka rais wa JMT awepo? Kuna kitu hapa ambacho hayati JPM asingekubali kifanyike.
Ili uweze kuwa na taifa thabiti na madhubuti lazima kuwa na viongozi wazalendo na wenye machungu na taifa lao.
Viongozi ambao watapinga ufisadi wa kila aina na kuhakikisha maendeleo yanapatikana.
Viongozi ambao watazuia ushoga ili kulinda maadili ya taifa lao.
Viongozi ambao watazuia wavuta...
Mchungaji Peter Msigwa, Mbunge wa zamani wa Iringa mjini na waziri kivuli wa maliasili na utalii ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa amesema kuwa pamoja na Tofauti zao za kisiasa na kupishana kwa mambo kadhaa ya hapa na pale, jambo moja...
Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi.
TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi.
Hivi Tanzania bado hatuna kampuni zenye uwezo wa kutoa ushauri wa kisheria hadi tutoe Ulaya...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe ambaye pia anaiwakilisha Tanzania nchini Mauritius Balozi Prof. Emmanuel Mbennah na kusisitiza juu ya utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.