Sidhani kama Kuna Private energy company inayolipa vizuri kama Puma, na kufata taratibu na Sheria za kazi.
Kiukweli Mungu awaweke na kuwapa maisha marefu maboss wa PUMA, nyie nimfano mzuri wakuigwa.
Natamani Bakharesa & MO na makampuni mengine yaige namna yakuwapa thaman wafanyakazi wao kama...