Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Makini, Simon Ngilisho, ameendelea na kampeni zake za kuomba kura kwa wananchi wa jimbo hilo huku akiahidi kuboresha miundombinu ya biashara na usafiri ndani ya jiji la Arusha.
Akizungumza leo Oktoba 22, 2025, katika eneo la Stendi Kuu...