Habari Wana JF.
Natafuta mtu mzuri kwa ajili ya Masoko, Mimi n mfanyabiashara Nina kampuni yangu inajihusisha na ku supply bidhaa za chakula Kama unga, Maharage, Mchele, Mbogamboga, Matunda n.k.
Naomba tuwasiliane tuongee zaidi. Napatikana kwa namba hizi 0738-665702.
Napatikana Dar es Salaam