Nimeona chekechea za china watoto wanafundishwa kupika, kushona ,ujenzi, ujasiliamali, ufundi na mambo MENGI ya maana.
Lengo lao ni kuwaandaa watoto hata kama watafika darasa la SABA wae na uwezo wa kujiajiri na kujitafutia vipato.
Badala ya kumvizia amalize Chuo akiwa na stress nyingi za...