VETA ianze kutoa mafunzo ya vitendo KWA watoto wa chekechea na darasa la kwanza wakati wa Likizo

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,523
Nimeona chekechea za china watoto wanafundishwa kupika, kushona ,ujenzi, ujasiliamali, ufundi na mambo MENGI ya maana.

Lengo lao ni kuwaandaa watoto hata kama watafika darasa la SABA wae na uwezo wa kujiajiri na kujitafutia vipato.

Badala ya kumvizia amalize Chuo akiwa na stress nyingi za maisha serikali ianshe kozi za vita za watoto.

Badala ya watoto kujipikilisha michanga, na kujeza michezo ya kijinga kama kombolela basi wawe bize na maandalizi ya ukosefu wa ajira ukubwani.

Ni hayo tu.
Nini maoni yako.
 
HAPANA wanatakiwa wakubwa TU.kama alivyo sema majaliwa sw. Tusitoke hapo
KAZI ni kipimo cha utu
 
Unaijua veta inavyofanya kazi au umeibuka usingizini na kuleta comment hapa
 
Nimeona chekechea za china watoto wanafundishwa kupika, kushona ,ujenzi, ujasiliamali, ufundi na mambo MENGI ya maana.

Lengo lao ni kuwaandaa watoto hata kama watafika darasa la SABA wae na uwezo wa kujiajiri na kujitafutia vipato.

Badala ya kumvizia amalize Chuo akiwa na stress nyingi za maisha serikali ianshe kozi za vita za watoto.

Badala ya watoto kujipikilisha michanga, na kujeza michezo ya kijinga kama kombolela basi wawe bize na maandalizi ya ukosefu wa ajira ukubwani.

Ni hayo tu.
Nini maoni yako.
Kenya wameshaanza,sisi bado tunanunua umeme Ethiopia
 
Sio wakati wa likizo, Bali ukiwa na mtoto wako Mdogo hakuna umuhimu wowote wa kumpeleka sjui primary, sekondari, chuo, ni kupoteza muda na pesa...mpeleke veta. Basi. Nimejifunza hili.
 
Safi sana.
 
Nimeona chekechea za china watoto wanafundishwa kupika, kushona ,ujenzi, ujasiliamali, ufundi na mambo MENGI ya maana.

Lengo lao ni kuwaandaa watoto hata kama watafika darasa la SABA wae na uwezo wa kujiajiri na kujitafutia vipato.

Badala ya kumvizia amalize Chuo akiwa na stress nyingi za maisha serikali ianshe kozi za vita za watoto.

Badala ya watoto kujipikilisha michanga, na kujeza michezo ya kijinga kama kombolela basi wawe bize na maandalizi ya ukosefu wa ajira ukubwani.

Ni hayo tu.
Nini maoni yako.
Hahha angalia UTV usikize sai
 
Back
Top Bottom