masuala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Sijui 'Tozo Umiza Komoa' ikibadilika leo utasemaje. Waziri Ummy Mwalimu punguza 'Kiherehere' na jifunze Kutafakari 'Masuala' mazito

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema wizara hiyo itanufaika na tozo za miamala ya simu kwa kujenga vyumba vya madarasa 10,000 na kukarabati shule kongwe za msingi 2,100. Ameeleza kuwa hadi sasa kuna uhaba wa madarasa 100,005 kwenye shule za msingi na sekondari nchini. Chanzo: Swahili Times...
  2. Amaizing Mimi

    MSAADA: Wataalamu wa masuala ya ushirika

    Bila shaka mpo salama na mnaendelea kufanya miamala kwa njia ya simu ili kujenga taifa letu. Naomba kujua je mkoa unapomegwa na kuunda mkoa mpya,chama cha ushirika (mkoa mama) huwa kinaendelea kufanya kazi katika mkoa mpya? Kama jibu ni ndio,kwanini? Kama jibu ni hapana vipi kuhusu rasilimali...
  3. Richard

    IMF na Benki ya Dunia ni taasisi kubwa ambazo hujidhihirisha na watu wanoteuliwa kuwakilisha nchi katika masuala ya fedha

    Hizi Taasisi kubwa kama IMF na Benki ya Dunia huwa wana taratibu za kujidhihirisha kabla ya kumpokea mgeni kutoka nchi fulani ambae huteuliwa kuwa waziri wa fedha. Dr Phillip Mpango ni mwenyeji katika taasisi hizi za fedha duniani. Ukiongelea masuala ya uchumi na Dr Mpango hupati shaka kwamba...
  4. K

    Gharama ya kutuma fedha kupitia mitandao kwa sasa ni ghali

    Gharama ya kutuma fedha kupitia mitandao kwa sasa ni ghali mno na inatukatisha tamaa. Kutuma mathalani Tshs.1m/= kwa anayetuma anakatwa Tshs.16,000 na anayepokea anakatwa Tshs.14,000. Hivi kweli ni haki?. Kwa Mtanzania wa kawaida kiasi hicho anaweza kununua madebe matatu ya mahindi kwa ajili...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Hayati Magufuli alikuwa na uelewa mdogo wa masuala ya dini, asilaumiwe

    HAYATTI MAGUFULI ALIKUWA NA UELEWA MDOGO WA MASUALA YA DINI, ASILAUMIWE. Na, Robert Heriel. Leo kijiweni kuna mada Moto ilikuwa ikiendelea inayohusu masuala ya UVAAJI WA BARAKOA, baadhi ya wachangiaji wa mada walimtumia zaidi Hayati Magufuli katika kutetea hoja zao kuwa hakuna ulazima wa kuvaa...
Back
Top Bottom