Bila shaka mpo salama na mnaendelea kufanya miamala kwa njia ya simu ili kujenga taifa letu. Naomba kujua je mkoa unapomegwa na kuunda mkoa mpya,chama cha ushirika (mkoa mama) huwa kinaendelea kufanya kazi katika mkoa mpya?
Kama jibu ni ndio,kwanini? Kama jibu ni hapana vipi kuhusu rasilimali...